Magamba!

Averos

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
994
Reaction score
703
Hapa sijui wanafanya nini?
 

Attachments

  • magamba!.jpg
    110.9 KB · Views: 686
Magamba bana, haya Nape , eleza hapa mnafanya nini tena.

 
Ha!, wenye mihemuko hapo si watajiharibia, au wemeruhusiwa kujidungua!?
 
Njaa mbaya,huwezi amini hao wanaolaliana hapo wote washavuta buku mbili zao,wakati huo mafuso yanawasubiri!
 
Wanatiana mimba kama alivyosema yule mbunge wao wa Mtera.... wana Magamba wengi wana UKIMWI and I am ready ku-prove hili ila sio topic kwa sasa
 
Siasa za bongo ngumu kweli, hata akiambiwa wasaule wapate kura watatii! Yote ya nini? Tuleteeni maendeleo tutawaelewe hayo mambo ni ya zamani!
 
Kama vile wako kwenye movie, tena movie yenyewe "perfume"
 
Nepi je ataweza kufanya hivi na kile kipipa alichonacho sasa hivi?sasa mbona unawatesa wenzako hivi?Khaa!!
 
Nikikumbuka maneno ya msemahovyo anayewakilisha jimbo la mtera na kulinganisha na picha hii, naweza kuhitimisha kwamba sasa chama kimeshikwa na waimba taarabu. Hakuna future hapo.
 
Ukitaka kula lazima ukubali kuliwa kidogo..(falsafa ya Mwenyekiti wa chama)
 
Hata hao wenyewe waliokaa hivyo ukiwauliza watashindwa kujibu walikuwa wanafanya nini..
 
Akili zao wanazijua wenyewe nafikiri walidhani wao ni boti so wanaserereka kwenye maji ya kusadikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…