Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,200
Nilikuwa nasoma gazeti la Tanzania daima leo, nikakutana na kitu cha ajabu!
Inadaiwa katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam bwana Kilumbe Ng'enda amemtuhumu mbunge wa Kinondoni bwana IDD AZZAN kuwa ni muuza dawa za kulevya hivyo aache kuwa nyooshea vidole vingozi wa mkoa kuwa wajivue gamaba kwani nayeye si mwanminifu.....
Jamani, sasa CCM inazidi kutufunulia jinsi livyo, kumbe inaviongozi wa ajabu hivi!
Kaka mziz wa mbuyu mbona katika gazeti hilo la tanzania daima hawajasema hizo tuhuma au wewe umesoma gazeti gani maana la leo ,limeelezea ugomvi na msamaha alioomba
Kuomba radhi kama umekosea ni kitendo cha kiungwana. Hii inadhihirisha kuwa CCM ina matatizo ktk watu wake maana huyu Azan kasema kitu ambacho hawezi kukisimamia. Ndiyo maana hata maendeleo hatuna kwani viongozi wetu wanasema vitu ambavyo hawawezi kuvisimamia au kuwajibika navyo!
Kuuza unga ni mipasho? kama wewe hufahamu sema lakini sii kwamba watu wanamzushia tunajua haya sii leo wala jana...hahaaa kazi kweli kweli,kweli jamii forums mnajadili mipasho...idd azzan anauza unga...hahaaa,nimezoea kuona mipasho kwenye mablog lakini siyo jamiiforums...acheni kujadili mipasho
Kama anauza unga basi ana operate kwa hasara, maana bifu yake kubwa na CCM ni kwamba walimnyima khanga na T-shirt za kampeni.Kuuza unga ni mipasho? kama wewe hufahamu sema lakini sii kwamba watu wanamzushia tunajua haya sii leo wala jana...
Kuuza unga ni mipasho? kama wewe hufahamu sema lakini sii kwamba watu wanamzushia tunajua haya sii leo wala jana...[/QU
kama unajua unasubiri nini kipindi chochote hicho mpelekeni kwenye vyombo vinavyo husika...full stop
Ama kweli wewe una matatizo, sasa kama ndivyo mbona hao mapacha hujawapeleka kwenye vyombo vinavyohusika?.. au hii ipo upande mmoja tu!.Kuuza unga ni mipasho? kama wewe hufahamu sema lakini sii kwamba watu wanamzushia tunajua haya sii leo wala jana...[/QU
kama unajua unasubiri nini kipindi chochote hicho mpelekeni kwenye vyombo vinavyo husika...full stop
Haya maswala ni mazito kuliko wewe na mimi na kama unataka kujua zaidi fikiria ya Chifupa kwanza kabla hujabwabwaja. Na hakuna maswala ya khanga wala Tshirt, huyo Azan kamwaga ShyRose kupitia mkuu wa uchakachuaji Lowassa, Azan alibebwa na Mtandao, leo kapigwa mkwara baada ya kutaka kuleta ya Nape ktk halmashauri ya Kinondoni ambako ufisadi ndio kama Kenya na kila mmoja wao anajua madudu ya mwenzake...
Kifupi mkuu wangu CCM hakuna nabii wote wenye moyo wa kusema lolote baya hutumbukiziwa madudu yake kama ilivyotokea kwa Mwakyembe na mradi wa umeme huko Mbeya.
Hivyo hakuna siri na viongozi wengi sana wanafanya biashara ya unga na ndicho kinachoendesha purchasing power inayoonekana Bongo..Drugs and money Laundry hakuna zaidi. Amin Usiamini...
Kwa elimu yangu ya darasa la nne (middle school) la mkoloni sijapata kusikia au kusoma mahali kwamba nyoka ana damu inayonyonyeka labda ile baridi; na kuitoa inahitajika sayansi nyingine.
CCM MKOA WA DAR-S-ES SALAAM.......................KILUMBE NG'ENDA wewe kama katibu wa CCM MKOA ulikuwa wapi siku zote kusema haya unayoyasema leo kama sio UNAFIKI NA UZANDIKI ULIOTUKUKA KWAKO? mimi nilidhani kipara chako kitakujenga uwe na BUSARA/HEKIMA kumbe wewe ZUMBUKUKU ULIMWENGU UKO HUKU, KILUMBE WEWE KATIBU WA SEKRETARIETI YA MKOA na MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI MKOA ulikuwa wapi siku zote kuyasema hayo? kwanza nimegundua wewe sio muadilifu kabisa na hufai kuwa KIONGOZI MAANA WEWE NI MTAWALA. Najua hujui nini maana ya haya maneno uliwekwa hapo na MSHAMBAA YUSUPHU MAKAMBA kutimiza malengo yake sasa leo hayupo jiandae soon ok.
- wewe kama kiongozi ulitakiwa wakati ule kumlipua IDDI AZZAN asichukue hata fomu kwa kuwa ni mchafu, sasa unapoibuka leo na kuleta FITINA ZAKO CHAFU WENYE AKILI TIMAMU HATUKUELEWI JARIBU KUWA MKWELI KIDOGO.
- WEWE NI MALAYA WA KUTUPA KATIKA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA DAR-ES-SALAAM nataja wanawake zako baadhi.
1.ANGELA CHARLES KIZIGHA..(mgombea ubunge KAWE/CCM na kushindwa)
2.SHYROSE BHANJI- (AFISA UHUSIANO NMB/Mgombea ubunge KINONDONI CCM na kundindwa na IDDI AZZAN sasa naona mnashare huyo
demu na SUGU MOTO CHINI akipiga leo ww unapiga kesho)
3. MTOTO WA KIMBAU[/COLOR] -( aligombea udiwani kata ya MAKUBULI CCM huyu mnashare na mwenyekiti wako wa mkoa GUNINITA BILA WEWE KUJUA, kata hii imechukuliwa na CHADEMA KWA KUENDEKEZA KWENU MAPENZI wapumbavu wakubwa nyie)
KILIMBE NG'ENDA WEWE unapomtuhumu mwenzi IDDI AZZAN kwamba MPOPO kitaaluma anaitwa mpopo UNAMAANISHA NINI? mbona wewe ilikuwa na deal zenu hizo hizo na MAREHEMU MOHAMMED MPANJIA? AU UNADHANI HAIFAHAMIKI? tunafaham ila tunakuangalia tu na sasa unamsaidia BUJUGO mwenye shule ya CREEN ACRES KUFANIKISHA MAMBO YAKE, ULIMSAIDIA APATE UDIWANI MAGOMENI BAADA YA KUKUHONGA MILIONI 18 CHEKI IPO SIKU UKINYANYUA MDOMO WAKO NITAITAJA NAMBA NA WATANZANIA WANAOJUA UHASIBU WAKAIHAKIKI..............mpumbavu mkubwa wewe acha majungu nimeapa kuzaa na nyie wote mnaokichafua chama cha mapinduzi.
-wewe ni mfuasi wa KUNDI LA MAFISADI acha kuropoka ropoka tulia subiri upate barua yako utulie KILUMBE.
-KAOMBA RADHI LAKINI HUYO NDIO KILUMBE NG'ENDA -KATIBU WA MKOA CCM BONGO/DRA ES SALAM.
-IDDI AZZAN SI KWELI KWAMBA NI MPOPO WA MADAWA YA KULEV'YA NA KUHUSU MUSSA AZZAN ZUNGU KWA SASA SI KWELI ANAUZA HUO UNGA ALIACHA KWA KIAPO CHA BABA YAKE NA MAMA YAKE WAARAB WANAMUKU HUO AKIRUDIA DUNIA SIO YAKE TENA, NA NDIO MAANA JAKAYA ALIKUBALI AGOMBEE UBUNGE 2005.
-NITAPAMBANA NA UCHAFU NA WACHAFU WOTE WANAOKIDIDIMIZA CHAMA CHA MAPINDUZI SIBAHATISHI.
-ALUTA KONTINUA