Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
Wameacha kujinyea? Mtaifunga mahakama ya mafisadi?muda huu wamejirekebisha kutokana na kauli za mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameacha kujinyea? Mtaifunga mahakama ya mafisadi?muda huu wamejirekebisha kutokana na kauli za mkuu
HahahaIla yule mwenye ID ya "MAGAMBA MATATU humu JF. Nimempenda bure tu..
TanzaniaChama cha mauaji ccm
Huyo ndugu hatari ule Uzi wake sijui alikuwa wapi wakati anaandika!Ila yule mwenye ID ya "MAGAMBA MATATU humu JF. Nimempenda bure tu..
KinanaWanamtandao wenye wimbo wa ,"Tuna imani na Lowaaaassa" wamo ndani ya CCM MPYA
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😄😃😀😆😆😅😅😁🤣😅😅Kinana
Magamba matatu kwangu ni mwamba mmoja aliye itabiria tanzania kupata kiongozi diktetaKwetu ukisema magamba matatu ni vyeti vitatu yaani cheti cha O- level, A-level na University
Barafu la moto
Hapana kujirukebisha walikaa pembeni kupisha upepo wa kisulisuli upite ila wamarudi kwa kasi ya mwanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahabritanicca ,
..ongeza na Babu Seya.
..usimsahau na Madabida.
..sijui ni nani alimshauri Mkulu amuachie Babu Seya. What a shame?