Magaidi wa westgate picha hapa Kenya

Magaidi wa westgate picha hapa Kenya

Status
Not open for further replies.
Kwanza tambua kwamba mshahara wa dhambi ni mauti.

lakini huo mshahara wa dhambi unaosema hata watoto wachanga, watu wema wanakufa? sasa kwa maana kuwa waovu tu ndio mauti yanawakumba au vip?

hili andiko haliko sawa....kuna waovu kibao na wanaishi maisha marefu tu na wema wanakufa mapema tu....

in short kila mtu anakufa...
 
Ndugu Elungata,

Kwanza tambua kwamba mshahara wa dhambi ni mauti. Hilo halina mjadala. Dhambi ni uasi kwa Mungu, ni kutotii sheria.

Kurudi kwenye bandiko lako ni kwamba umeamua kukoti sehemu ndogo tu na ukaacha sehemu nyingine ya biblia iliyokuwa inaelekeza kwanini hayo mauaji yametokea, tena ilishatabiriwa kabla.

Kwa ufupi ni kwanba wameacha kumuavudu Mungu Mtakatifu, Yehovah Bwana wa Majeshi na kugeukia kuabudu miungu mingine ya Baali tena kwa kutengeneza madhabahu na kukinajisi kiti cha enzi cha Daudi ambacho Bwana Mungu aliweka Agano la kukilinda

Siku nyingine usisome Biblia kama novel bali omba msaada wa Roho Mtakatifu akufundishe.

kuna verses kibao zinazungumzia mauwaji makubwa tu kwenye Bibble na huo unaosema eti utabiri haujafafanua....

ziko kibao naweza kuweka hapa unashindwa kuzikataa au kuzifafanua unasingizia utabiri ???
 
Hili nitalisema kabla mashabiki wao hawajafika, Kenya tulikosea kuwapeleka jeshi kupigana na magaidi ndani ya jengo. Tatizo letu lilitokana na kutoelewana kati ya vitengo tofauti vilivyofika kwa pamoja hadi wengine wakashambuliana wao kwa wao kwa makosa.
Kuna hata elites wa kutoka Israeli waliofika lakini ikawa haielewki nani mwenye kutoa amri. Na kama nilivyosema mara kadhaa, magaidi wa kidini ni vigumu kupigana nao, maana wao huja wamejifunga mabomu mwilini na tayari kufa, na hali kama ile ya Westgate waliingia hadi ndani kabisa. Kuwatoa humo haikua rahisi.

Hebu nipe picha ya uwezo wa commandos wa JWTZ jinsi wanavyoweza kupigana na watu walioingia Milimani city na wamejifungia humo ndani wakiwa na mabomu na tayari kufa. Hii ni noma hata iliwakuta Warusi.

Mkuu nimekuelewa sana... mimi nadhani kosa kubwa ni pale Serekali panic na kuamua kuwaingilia GSU (kitengo cha kuzui ugaidi) ambao kwa kiasi flan walikua wameshafikia hatua nzuri. Lakini hata kama kulikua na lazima ya kubadilisha vikosi au kuongeza nguvu,, basi ilitakiwa kufanyike briefing na handover. Lakini kilichotia aibu na hii ni kwetu sote maana aibu ya Kenya ni aibu yetu .. huko nje huwa hawatutofautishi sana maana husema hawa wa East Africa. Kile kitendo cha kupora na kujichana mibia restaurants wakati watu wamepoteza maisha mle... ni kitendo kilitakiwa wahusika wawajibike kabisa... maana ni cha kihuni hata Alshabab hawawezi kufanya hivyo.... Mwisho kabisa nasema na nakubaliana na wewe kuwa swala ugaidi wa kiimani ni tofauti na ujambazi... jambazi anakuwa ana plan ya future akitegemea kutoka salama ili akafaidi matunda ya wizi wake... ila kwa magaidi hawa wa kidini wao wanakua wako tayari kufa na kufa kwao ni ushujaa na malipo adhimu... hawa ni kazi sana .... na ndio maana bado ninashinda ya kutaka kujua Kenya Mko Momali kupigana na Idiology au nini hasa... kama ni idiology mtashinda kweli?? na hata hawa waislam walioko Kenya wanawaunga mkono kweli ,, hawaoni kama mna agenda ya kupigana na dini yao? unafikiri mgeni anaweza kuja kupigana ndani mwako tena kwa kupitia mlango wa uani bila mwenyeji kuhusika? na huu uhusika wa mwenyeji unakua na motive gani? KAZI TUNAYO KWA KWELI NA HILI SI LA KENYA PEKE YAKE MAANA MWENZIO AKINYOLEWA WEWE TIA MAJI KABISA
 
Hili nitalisema kabla mashabiki wao hawajafika, Kenya tulikosea kuwapeleka jeshi kupigana na magaidi ndani ya jengo. Tatizo letu lilitokana na kutoelewana kati ya vitengo tofauti vilivyofika kwa pamoja hadi wengine wakashambuliana wao kwa wao kwa makosa.
Kuna hata elites wa kutoka Israeli waliofika lakini ikawa haielewki nani mwenye kutoa amri. Na kama nilivyosema mara kadhaa, magaidi wa kidini ni vigumu kupigana nao, maana wao huja wamejifunga mabomu mwilini na tayari kufa, na hali kama ile ya Westgate waliingia hadi ndani kabisa. Kuwatoa humo haikua rahisi.

Hebu nipe picha ya uwezo wa commandos wa JWTZ jinsi wanavyoweza kupigana na watu walioingia Milimani city na wamejifungia humo ndani wakiwa na mabomu na tayari kufa. Hii ni noma hata iliwakuta Warusi.

Ni kushindwa tu jamaa acha siasa! !!!
 
This may be described as a political reprisal more than a religious hatred towards Kenyans and Christians.

It has never been an Islamic Concept in any way whatsoever..

if their atrocities are not motivated by islamic religion,why they shout "Allahu Akbar" (God is greater) in a joyfull way,when they kill someone?.
 
Hili nitalisema kabla mashabiki wao hawajafika, Kenya tulikosea kuwapeleka jeshi kupigana na magaidi ndani ya jengo. Tatizo letu lilitokana na kutoelewana kati ya vitengo tofauti vilivyofika kwa pamoja hadi wengine wakashambuliana wao kwa wao kwa makosa.
Kuna hata elites wa kutoka Israeli waliofika lakini ikawa haielewki nani mwenye kutoa amri. Na kama nilivyosema mara kadhaa, magaidi wa kidini ni vigumu kupigana nao, maana wao huja wamejifunga mabomu mwilini na tayari kufa, na hali kama ile ya Westgate waliingia hadi ndani kabisa. Kuwatoa humo haikua rahisi.

Hebu nipe picha ya uwezo wa commandos wa JWTZ jinsi wanavyoweza kupigana na watu walioingia Milimani city na wamejifungia humo ndani wakiwa na mabomu na tayari kufa. Hii ni noma hata iliwakuta Warusi.
cha kushangaza hakuna aliye jiuzulu
 
if their atrocities are not motivated by islamic religion,why they shout "Allahu Akbar" (God is greater) in a joyfull way,when they kill someone?.

That is part of the Plot. Hiyo ni njia ya kumoblise common people. kadoda don't tell me you don't know that?.
 
dah! sasa naanza kukuelewa mkuu,you're absolutely right.they use islamic phrases as tool that can be used to push foward their political and socio-economic agenda.roger that sir!

if this forum had five well informed islam individuals with your approach,jf wouldn't be a safe heaven for keyboard jihadist like kahtaan and FaizaFoxy .
i respect you bro!.
 
Last edited by a moderator:
if their atrocities are not motivated by islamic religion,why they shout "Allahu Akbar" (God is greater) in a joyfull way,when they kill someone?.

Ask yourself that question on the picture of whitemans god! That will help to understand a thing or two.

Teh teh teh!
 
Attachments

  • 1411386453914.jpg
    1411386453914.jpg
    29.3 KB · Views: 133
dah! sasa naanza kukuelewa mkuu,you're absolutely right.they use islamic phrases as tool that can be used to push foward their political and socio-economic agenda.roger that sir!

if this forum had five well informed islam individuals with your approach,jf wouldn't be a safe heaven for keyboard jihadist like kahtaan and FaizaFoxy .
i respect you bro!.

Mkuu MZIMU huyu Twaghuti asikupake mafuta kwa mgongo wa Chupa.
Hawa ndio wale makafiri waliokuwa wanashangilia wakati ule Wayahudi wanaporomosha mabomu na KUUA WATOTO WA KIISLAMU.
Leo wanaleta nyodo zao hapa kwa kuona unakiongea kile ambacho mwanaadamu yyt Muungwana Anatakiwa kukisema.

Wauliza hawa makafiri wakati ule WAYAHUDI wanaua WATOTO wao walikuwa wapi KU CONDEMN those EVIL?

Nyoka sana hawa.
 
Last edited by a moderator:
Ask yourself that question on the picture of whitemans god! That will help to understand a thing or two.

Teh teh teh!

hahahaha naona umeanza komedi zako.unamchokoza Kiranga.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MZIMU huyu Twaghuti asikupake mafuta kwa mgongo wa Chupa.
Hawa ndio wale makafiri waliokuwa wanashangilia wakati ule Wayahudi wanaporomosha mabomu na KUUA WATOTO WA KIISLAMU.
Leo wanaleta nyodo zao hapa kwa kuona unakiongea kile ambacho mwanaadamu yyt Muungwana Anatakiwa kukisema.

Wauliza hawa makafiri wakati ule WAYAHUDI wanaua WATOTO wao walikuwa wapi KU CONDEMN those EVIL?

Nyoka sana hawa.

acha kusukumwa kihisia.yatazame mambo kihalisia utajua ukweli.
 
Last edited by a moderator:
dah! sasa naanza kukuelewa mkuu,you're absolutely right.they use islamic phrases as tool that can be used to push foward their political and socio-economic agenda.roger that sir!

.........................

Mkuu kadoda1 Nakushukuru kwa kunielewa. Hawa ndugu zangu kahtaan na FaizaFoxy ni watu Muhimu sana kwa Waislamu kupambana na wale wote wanaotoa Maneno ya Kashfa na Kejeli bila hoja dhidi ya Uislamu. Kama wengine watajadiliana kiistarabu na dhani utawakuta hawa Makamanda inshaalah ni wenye Utulivu na Hekima kubwa. Ila wakichokozwa usiwalaumu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom