green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 11,337
- 35,887
😂Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti linasimamiwa kikamilifu na FSB ili watoe taarifa zaidi...... wakati huo huo DUMA wamerudusha hukumu ya kifo Nchinj Russia
..
⚡️Interrogation of the Moscow Crocus terrorists is being done with the help of electric shock to the balls therapy aka Russian "data recovery technology".
🚨This terrorist is about to tell the investigators things that even he didn't realise he knew.
Huyo mwamba wa kushoto ukiangalia clip yake anatia huruma mpaka basi. Amevimba vibaya usoni halafu ana hema sana kama anashindwa kupumua. Muda mwengine anasimama kama anaugulia maumivu yaani anakosi pozi zuri la kusimama yaani kama hajui asimame au ainame.Wamepelekwa mahakamani ila wako hoi. Wamepelekwa wawili. Yule mwenye sauti ndogo/nyororo/aliyevimba jicho (itakuwa kapata kipigo cha mbwa koko) anaitwa Mirzoyev Dalerjon Barotovich na aliyekatwa sikio anaitwa .Rachabulizoda Saidakrami Muradali
View: https://x.com/DD_Geopolitics/status/1772003433748307980?s=20
Si tumeambiwa waislam hapa na wakatoliki wa bongo mbona tunaona wayahudi miungu wa waafrika wakristo kina Bwajima. Vipi ISS?? You can't fool people all the time...Bangusilo waislam.Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti linasimamiwa kikamilifu na FSB ili watoe taarifa zaidi...... wakati huo huo DUMA wamerudusha hukumu ya kifo Nchinj Russia
..
⚡️Interrogation of the Moscow Crocus terrorists is being done with the help of electric shock to the balls therapy aka Russian "data recovery technology".
🚨This terrorist is about to tell the investigators things that even he didn't realise he knew.
Sasa wao walifikiri wataokoka?Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti linasimamiwa kikamilifu na FSB ili watoe taarifa zaidi...... wakati huo huo DUMA wamerudusha hukumu ya kifo Nchinj Russia
..
⚡️Interrogation of the Moscow Crocus terrorists is being done with the help of electric shock to the balls therapy aka Russian "data recovery technology".
🚨This terrorist is about to tell the investigators things that even he didn't realise he knew.
Bado wataendelea "kuhojiwa". Wao wanasema hawaelewi kitu, walipewa kazi na maelezo kwa telegram pekee. Hawajawahi kumuona kwa sura/uso kwa uso na mtu aliyepanga shambulioHuyo mwamba wa kushoto ukiangalia clip yake anatia huruma mpaka basi. Amevimba vibaya usoni halafu ana hema sana kama anashindwa kupumua. Muda mwengine anasimama kama anaugulia maumivu yaani anakosi pozi zuri la kusimama yaani kama hajui asimame au ainame.
Yule mwamba aliyekatwq sikio katulia kawa mpole vibaya naye kaumuka usoni.
Hawa majamaa watakoma! Wamechagua kazi ya kijinga sana!Bado wataendelea "kuhojiwa". Wao wanasema hawaelewi kitu, walipewa kazi na maelezo kwa telegram pekee. Hawajawahi kumuona kwa sura/uso kwa uso na mtu aliyepanga shambulio
Jamaa kavimba mno. Kipigo alichopewa, sio mchezo. Na bado wanasema wataendelea kumhojiHawa majamaa watakoma! Wamechagua kazi ya kijinga sana!
Kuna clip ile jamaa anayepigwa shoti sehemu za siri. Anapiga kelele vibaya! Najaribu kuiweka hapa inakataa!
Yaani bado wanaendelea kumhoji?! Kazi anayo! Hapo ndiyo unatamani kufa halafu haufi.Jamaa kavimba mno. Kipigo alichopewa, sio mchezo. Na bado wanasema wataendelea kumhoji
View: https://x.com/MaimunkaNews/status/1772010431927795798?s=20
Mkubwa umewajuaje? Natamani kuwafahamu hawa wakulungwaWamepelekwa mahakamani ila wako hoi. Wamepelekwa wawili. Yule mwenye sauti ndogo/nyororo/aliyevimba jicho (itakuwa kapata kipigo cha mbwa koko) anaitwa Mirzoyev Dalerjon Barotovich na aliyekatwa sikio anaitwa .Rachabulizoda Saidakrami Muradali
View: https://x.com/DD_Geopolitics/status/1772003433748307980?s=20
Hao jamaa ni magaidi ila wanapenda hela. Maana ISIS waliwapa na mabomu ya kujilipua ili wafe. Inaonekana hawakuyavaa au kuyatumia. Walikuwa wana njaa ya hela.Yaani bado wanaendelea kumhoji?! Kazi anayo! Hapo ndiyo unatamani kufa halafu haufi.