Magaidi wa Hamas watangaza kihama huko Gaza

Magaidi wa Hamas watangaza kihama huko Gaza

gaza yenyewe sasa ni 365 square kilometers, lakini HAMAS bado intact
Isarel wakishusha kipondo utasikia WANAWAKE WAZEE NA WATOTO. Wakati magaidi yamejificha katikati yao na hayana sare za jeshi.

IDF apigane na nani sasa kama sio hao wazee wanawake na watoto.

Kukabidhi mateka Hamas wanaenda full combat
 
Hakuna watu waoga kama hao magaidi wa Hamas, wao kazi ni kujificha tu kwa wanawake na watoto na kamwe hawawezi kuvaa sare kwa sababu wanajua wakifanya hivyo ndio kiama chao.
Wajinga sana hao jamaa
 
Imeoneshaje udhaifu wakati anaopigana nao ni magaidi!

Magaidi wanapigana huku wakijificha kwa raia wakati huo Israel wapo kwa kombati kwa hiyo inamuwia vugumu kutekeleza azma yake na Israel anapokuwa anapigana na kombati maana yake yeye anakuwa ni Soft target na kumbuka vita na magaidi ni ngumu mno tofautisha na jeshi kwa jeshi
Unaongea maneno magumu sana kwake huyu hawezi kuelewa.

Israel angeamua afyeke kila kitu hapo Gaza isingemchukua wiki moja.
 
Isarel wakishusha kipondo utasikia WANAWAKE WAZEE NA WATOTO. Wakati magaidi yamejificha katikati yao na hayana sare za jeshi.

IDF apigane na nani sasa kama sio hao wazee wanawake na watoto.

Kukabidhi mateka Hamas wanaenda full combat
Na hakuna kitu kilimkera Netanyau kama hawa magaidi kuvaa full kombati wakati wa makabidhiano ya mateka,pale waliwaonyesha walimwengu kuwa wao bado wapo na wanaendelea na mapambano kwa hiyo sasaivi watulie fagio likipita kwa mara ya pili hapo Gaza hakuna tena watu wanao poteza muda wao kuwahurumia
 
Israel imeonyesha udhaifu wake wa kupambana na hamas yaani hamasi ingekuwa na uwezo wa kijeshi kama Kenya au Uganda Israel ingepigika vibaya mno
Mshauri Ruto atume askari wenye kombati kuwasaidia Hamas ndio utajua uwezo wa IDF

Hivi unadhani kumsaka kimburu (paka mla kuku) katikati ya paka ni rahisi kihivyo😎
 
Kamanda wa kitengo cha upelelezi cha Golani cha Israeli anazungumza na askari wake wakati wanaunga Rafah!!! "Kila mtu unayekutana naye ni adui. Ukiona sura, muwashe moto, mwangamize, na usonge mbele. Acha kuhurumia magaidi!!!


View: https://x.com/suppressednws/status/1908133211533697192?s=61

Ndivyo mtu anayepigana akiwa amejaa hofu anavyokuwa hivyo.
hata hivyo waambie mod wabadili kichwa cha habari.Nilishtuka kufikiria Hamas wametangaza kuhama Gaza.
Kumbe wametangaza kiama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom