Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 407
Moja kwa moja kutoka PSG...
Hii picha ni ya wale magaidi waliolipua kule ufaransa..
Hii picha ni ya wale magaidi waliolipua kule ufaransa..
Hii dunia isingekuwa na waislamu amani ingekuwa ni kubwa mno.
Kibwagizo cha watu gani vile?heri ninyooshe mikono kwa simba lakn sio kwa gaidi hapo hakuna kusurrender ntapigana mpaka nifie hapo maana hawa jamaa wakikuteka ujiandae na kisu ya shingo. Huku wakiimba takbiiir allah akhbar
Kuna wakati mtu anashawishika kusema hivyo kwa kuangalia yanayotokea.Kauli yako ni kali sana
Hii dunia isingekuwa na waislamu amani ingekuwa ni kubwa mno.
sidhani kama ni kweli, nina shaka pia na elimu yako, hivi unajua historia kweli...?
Kwani hawa ni dini gani? Mbona vyombo vya habari huwa vinazungumza mengi kuhusu WANAMGAMBO WA KIISLAMU......Au hijawahi kusikia?Basi ndo hawa.
Ngoja tuwasubiri madam umewaita nadhani wako njiani.