Mafwele, wengine 42 kutoa ushahidi kesi ya askari wanaodaiwa kughushi vibali vya silaha

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mashahidi 43, akiwemo Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Mafwele, wanatarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya kughushi vibali vya kumiliki silaha inayowakabili watu tisa, wakiwemo maofisa sita wa Jeshi la Polisi inasikilizwa na Hakimu Mwandamizi, Geofrey Mhini, na inatarajia kuanza kusikilizwa Aprili, 2026.

ASKARI WATANO.jpeg

Wakili wa Serikali, Cathbert Mbiling'i, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jumatatu, Machi 16, 2026, wakati akiwasomea hoja za awali (PH) washtakiwa hao.

Washtakiwa katika kesi hiyo ni Mkaguzi wa Polisi mwenye namba PF.19931 Fredrick Malekela (45), mkazi wa Kilwa Road, E.4627 Sajenti Kalemwa Kaunga (54), mkazi wa Chanika, E.7855 Sajenti Edger Mlogo (54), mkazi wa Kibamba, F.1126 Sajenti Robert Titus (47), mkazi wa Kisarawe, F.5092 Sajenti John Kaposwe (46), mkazi wa Kurasini na WP 10050 Julieth Moshi (30), mkazi wa Kisarawe.

1773755095674.png

Wengine ambao si maofisa wa jeshi hilo ni Damson Mnyilenga (59), mkulima na mkazi wa Chanika, Simon Aloyce (60), mfanyabiashara na mkazi wa Mwanza; pamoja na Venrand Liberio (29), mfanyabiashara na mkazi wa Tataba.

Washtakiwa hao kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka 16, yakiwemo ya kughushi vibali vya kumiliki silaha.

1773755149897.png

==============

Julai 30, 2025 | Askari watano kortini kwa tuhuma za kughushi vibali vya kumiliki silaha

Muktasari:
  • Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka 16 ya ku-ghushi vibali vya kumiliki silaha, tukio wanalodaiwa ku-litenda kati ya mwaka 2024 na mwaka 2025, Jijini Dar es Salaam.
Watu wanane, wakiwemo maofisa watano wa Jeshi la Polisi nchini, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 16 ya kughushi vibali vya kumiliki silaha.

Maofisa hao ni Mkaguzi wa Polisi mwenye namba PF. 19931 Fredrick Malekela (45), mkazi wa Kilwa Road; E.4627 Sajenti Kalemwa Kaunga (54), mkazi wa Chanika; E.7855 Sajenti Edger Mlogo (54), mkazi wa Kibamba; F.1126 Sajenti Robert Titus (47), mkazi wa Kisarawe na F.5092 Sajenti John Kaposwe (46), mkazi wa Kurasini.

Wengine ambao si maofisa wa jeshi hilo ni Damson Mnyilenga (59), mkulima na mkazi wa Chanika; Simon Aloyce (60), mfanyabiashara na mkazi wa Mwanza pamoja na Venrand Liberio (29), mfanyabiashara na mkazi wa Tataba.

Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo, Jumatano, Julai 30, 2025, na kusomewa mashtaka hayo na Wakili wa Serikali, Frank Rimoy, aliyedai mwaka 2024, ndani ya Jiji la Dar es Salaam, kwa nia ya kudanganya, walitengeneza nyaraka ya uongo ambayo ni kibali cha kumiliki silaha cha Desemba 5, 2024, chenye jina la Ahmed Ally, huku wakijua kuwa si kweli.

ASKARI WATANO.jpeg

Washtakiwa wanane wakiwemo maofisa watano wa Jeshi la Polisi, wakiwa chini ya ulinzi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,
baada ya kusomewa mashtaka. Picha na Hadija Jumanne

Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Geodrey Mhini, wakili huyo amedai katika shtaka la pili hadi la 13, katika kipindi cha mwaka 2024 ndani ya Mkoa wa Dar es Sa-laam, walitengeneza vibali vya kumiliki silaha vyenye majina ya Ahmed Ahmed Sandrudin, Omary Abdallah, Robert Koka, Fathi Ally, Mohamed Salim, Suleman Mbewa, Mickdad Chakindo, Irfan Nafari, Gulam Abbas Najafi, Is-mail Ismail na Salim Salim.

Shtaka la 14 hadi 16, washtakiwa hao wanadaiwa kuwa mwaka 2025 jijini Dar es Salaam, kwa nia ya kulaghai wali-tengeneza nyaraka za uongo ambazo ni vibali vya kumiliki silaha vyenye majina ya Marwaan Habretsh, Maurice Kiti-we na Said Mohamed, huku wakijua kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha sheria.

Washtakiwa walikana tuhuma hizo baada ya kusomewa mashtaka, upande wa mashtaka ulidai upelelezi bado unaendelea, hivyo kuomba Mahakama iwapangie tarehe nyingine kwa ajili ya kutajwa.

“Mheshimiwa Hakimu, kulingana na mashtaka ya-nayowakabili washtakiwa hawa, upande wa mashtaka hatuna pingamizi dhidi ya washtakiwa kupata dhamana, ila tunaomba itoe masharti yatakayowafanya washtakiwa ha-wa wafike mahakamani kila tarehe kesi yao inapoitwa,” amedai Wakili Rimoy.

Hakimu Mhini ametoa masharti matatu ya dhamana, ambayo ni kila mshtakiwa awe na mdhamini mmoja atakayesaini bondi ya Sh4 milioni.

Pia, wadhamini hao wanatakiwa wawe ni wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam na wenye barua kutoka Serikali za mitaa au barua ya utambulisho kutoka ofisini kama ni wafanyakazi.

Vilevile, wadhamini hao wanatakiwa wawe na vit-ambulisho vya Taifa (NIDA).

Hata hivyo, washtakiwa hao wameshindwa kutimiza masharti hayo, , hivyo wamepelekwa mahabusu.

Washtakiwa ‘wapekuwa’ mahakamani

Tofauti na washtakiwa wengine wanaofikishwa mahaka-mani hapo kwa mara ya kwanza wakitokea Polisi wakiwa wamevaa viatu, wao walikuwa hawajavaa viatu (wapeku-wa).

Kati ya washtakiwa hao wanane, ni washtakiwa wawili tu waliokuwa wamevaa kandambili rangi ya buluu na nyekundu.

Washtakiwa wasota rumande siku 70

Baada ya Hakimu kutoa masharti ya dhamana, washtakiwa waliulizwa kama wana wadhamini ili wadhaminiwe.

Hakimu: Washtakiwa mna wadhamini? Kama wadhamini wapo nje, waitwe waingie ndani ya Mahakama wasikilize masharti ya dhamana.

Kutokana na kauli ya hakimu huyo, mmoja wa askari wali-okuwepo ndani ya chumba cha Mahakama alitoka nje kui-ta wadhamini wa kesi hiyo.

Baada ya muda mfupi, alirudi na kuingia ndani ya Ma-hakama akiwa na wadhamini wawili ambao hawakuwa na barua za utambulisho.

Hali hiyo ilimfanya mshtakiwa wa tatu katika kesi hiyo, E.7855 Sajenti Mlogo, kunyoosha mkono akiashiria kuom-ba Mahakama imruhusu kuongea.

Hakimu Mhini alimruhusu mshtakiwa huyo kuzungumza, ndipo alipoiomba Mahakama ipange tarehe fupi ili waje na wadhamini kwa kuwa wamekaa ndani (mahabusu ya Poli-si) kwa siku 70 hadi walipoletwa mahakamani, hivyo ndugu zao hawajui kuwa wapo mahakamani.

“Mheshimiwa Hakimu, naomba utupangie tarehe fupi ili tu-je kudhaminiwa kwa sababu tumekaa siku 70 ndani hadi leo hii tunaletwa mahakamani. Ndugu zetu hawajui kama tupo hapa mahakamani,” amedai Mlogo na kuongeza:

“Tumechukuliwa tu na kupakiwa katika gari, hatukuambi-wa tunaletwa huku, hivyo hatuna mawasiliano na ndugu zetu. Ndiyo maana unaona hakuna wadhamini waliokuja, kwa sababu hawana taarifa.” Hoja hiyo iliungwa mkono na washtakiwa wenzake.

Hakimu Mhini ameeleza kuwa anapanga tarehe inayotam-bulika kisheria ya siku 14 kwa washtakiwa waliokosa dha-mana, ili iwapo wadhamini watapatikana, wapelekwe ma-hakamani kwa hati ya wito kutoka rumande, ili waende kupata dhamana.

Hakimu Mhini baada ya kutoa ufafanuzi huo ameahirisha kesi hadi Agosti 12, 2025 kwa ajili ya kutajwa, na washtakiwa wamepelekwa rumande.
 
Hawa mapolisi wanaopokea rushwa hadharani barabarani.

Polisi Hawa wanao bambikizia watu kesi Kisha kuomba rushwa Ili watoke ndani.

Hawa polisi wanaoajitiwa kwa sifa ya kuwa mrefu zaidi ya wengine na mwenye mbio badala ya akili.

Wanafanya doria mitandaoni. Yaani mzungu anagundua simu Kisha mjinga mmoja hapo central anafanya doria kuangalia wengine wanatumiaje simu zao.

Pumbavu polisi anashindwa kujua hata maana ya haki
 
mafwele akistaafu upolisi lazima ale teuzi ya ukuu wa mkoa kwenye mikoa ya pembezoni
 
Kwanza siyo mtanzania yule. Yule mafwele ni mtusi
afrika ni moja mkuu, kuna nyuzi humu wadau huwa wanasema kun hadi viongozi wa juu sio wabongo, + hata cdf alishawahi mwambia rais kwenye hotuba fulani hivi, sema hua wanaweka cods nyingi hadi hatuelewi,

fwele kulamba ukuu wa mkoa itakua kama kumsukuma mlevi tu
 
Mashahidi 43, akiwemo Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Mafwele, wanatarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya kughushi vibali vya kumiliki silaha inayowakabili watu tisa, wakiwemo maofisa sita wa Jeshi la Polisi.

Wakili wa Serikali, Cathbert Mbiling'i, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jumatatu, Machi 16, 2026, wakati akiwasomea hoja za awali (PH) washtakiwa hao.

Washtakiwa katika kesi hiyo ni Mkaguzi wa Polisi mwenye namba PF.19931 Fredrick Malekela (45), mkazi wa Kilwa Road, E.4627 Sajenti Kalemwa Kaunga (54), mkazi wa Chanika, E.7855 Sajenti Edger Mlogo (54), mkazi wa Kibamba, F.1126 Sajenti Robert Titus (47), mkazi wa Kisarawe, F.5092 Sajenti John Kaposwe (46), mkazi wa Kurasini na WP 10050 Julieth Moshi (30), mkazi wa Kisarawe.

Wengine ambao si maofisa wa jeshi hilo ni Damson Mnyilenga (59), mkulima na mkazi wa Chanika, Simon Aloyce (60), mfanyabiashara na mkazi wa Mwanza; pamoja na Venrand Liberio (29), mfanyabiashara na mkazi wa Tataba.

Washtakiwa hao kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka 16, yakiwemo ya kughushi vibali vya kumiliki silaha.

==============

Julai 30, 2025 | Askari watano kortini kwa tuhuma za kughushi vibali vya kumiliki silaha

Muktasari:
  • Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka 16 ya ku-ghushi vibali vya kumiliki silaha, tukio wanalodaiwa ku-litenda kati ya mwaka 2024 na mwaka 2025, Jijini Dar es Salaam.
Watu wanane, wakiwemo maofisa watano wa Jeshi la Polisi nchini, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 16 ya kughushi vibali vya kumiliki silaha.

Maofisa hao ni Mkaguzi wa Polisi mwenye namba PF. 19931 Fredrick Malekela (45), mkazi wa Kilwa Road; E.4627 Sajenti Kalemwa Kaunga (54), mkazi wa Chanika; E.7855 Sajenti Edger Mlogo (54), mkazi wa Kibamba; F.1126 Sajenti Robert Titus (47), mkazi wa Kisarawe na F.5092 Sajenti John Kaposwe (46), mkazi wa Kurasini.

Wengine ambao si maofisa wa jeshi hilo ni Damson Mnyilenga (59), mkulima na mkazi wa Chanika; Simon Aloyce (60), mfanyabiashara na mkazi wa Mwanza pamoja na Venrand Liberio (29), mfanyabiashara na mkazi wa Tataba.

Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo, Jumatano, Julai 30, 2025, na kusomewa mashtaka hayo na Wakili wa Serikali, Frank Rimoy, aliyedai mwaka 2024, ndani ya Jiji la Dar es Salaam, kwa nia ya kudanganya, walitengeneza nyaraka ya uongo ambayo ni kibali cha kumiliki silaha cha Desemba 5, 2024, chenye jina la Ahmed Ally, huku wakijua kuwa si kweli.

View attachment 3559059
Washtakiwa wanane wakiwemo maofisa watano wa Jeshi la Polisi, wakiwa chini ya ulinzi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,
baada ya kusomewa mashtaka. Picha na Hadija Jumanne

Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Geodrey Mhini, wakili huyo amedai katika shtaka la pili hadi la 13, katika kipindi cha mwaka 2024 ndani ya Mkoa wa Dar es Sa-laam, walitengeneza vibali vya kumiliki silaha vyenye majina ya Ahmed Ahmed Sandrudin, Omary Abdallah, Robert Koka, Fathi Ally, Mohamed Salim, Suleman Mbewa, Mickdad Chakindo, Irfan Nafari, Gulam Abbas Najafi, Is-mail Ismail na Salim Salim.

Shtaka la 14 hadi 16, washtakiwa hao wanadaiwa kuwa mwaka 2025 jijini Dar es Salaam, kwa nia ya kulaghai wali-tengeneza nyaraka za uongo ambazo ni vibali vya kumiliki silaha vyenye majina ya Marwaan Habretsh, Maurice Kiti-we na Said Mohamed, huku wakijua kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha sheria.

Washtakiwa walikana tuhuma hizo baada ya kusomewa mashtaka, upande wa mashtaka ulidai upelelezi bado unaendelea, hivyo kuomba Mahakama iwapangie tarehe nyingine kwa ajili ya kutajwa.

“Mheshimiwa Hakimu, kulingana na mashtaka ya-nayowakabili washtakiwa hawa, upande wa mashtaka hatuna pingamizi dhidi ya washtakiwa kupata dhamana, ila tunaomba itoe masharti yatakayowafanya washtakiwa ha-wa wafike mahakamani kila tarehe kesi yao inapoitwa,” amedai Wakili Rimoy.

Hakimu Mhini ametoa masharti matatu ya dhamana, ambayo ni kila mshtakiwa awe na mdhamini mmoja atakayesaini bondi ya Sh4 milioni.

Pia, wadhamini hao wanatakiwa wawe ni wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam na wenye barua kutoka Serikali za mitaa au barua ya utambulisho kutoka ofisini kama ni wafanyakazi.

Vilevile, wadhamini hao wanatakiwa wawe na vit-ambulisho vya Taifa (NIDA).

Hata hivyo, washtakiwa hao wameshindwa kutimiza masharti hayo, , hivyo wamepelekwa mahabusu.

Washtakiwa ‘wapekuwa’ mahakamani

Tofauti na washtakiwa wengine wanaofikishwa mahaka-mani hapo kwa mara ya kwanza wakitokea Polisi wakiwa wamevaa viatu, wao walikuwa hawajavaa viatu (wapeku-wa).

Kati ya washtakiwa hao wanane, ni washtakiwa wawili tu waliokuwa wamevaa kandambili rangi ya buluu na nyekundu.

Washtakiwa wasota rumande siku 70

Baada ya Hakimu kutoa masharti ya dhamana, washtakiwa waliulizwa kama wana wadhamini ili wadhaminiwe.

Hakimu: Washtakiwa mna wadhamini? Kama wadhamini wapo nje, waitwe waingie ndani ya Mahakama wasikilize masharti ya dhamana.

Kutokana na kauli ya hakimu huyo, mmoja wa askari wali-okuwepo ndani ya chumba cha Mahakama alitoka nje kui-ta wadhamini wa kesi hiyo.

Baada ya muda mfupi, alirudi na kuingia ndani ya Ma-hakama akiwa na wadhamini wawili ambao hawakuwa na barua za utambulisho.

Hali hiyo ilimfanya mshtakiwa wa tatu katika kesi hiyo, E.7855 Sajenti Mlogo, kunyoosha mkono akiashiria kuom-ba Mahakama imruhusu kuongea.

Hakimu Mhini alimruhusu mshtakiwa huyo kuzungumza, ndipo alipoiomba Mahakama ipange tarehe fupi ili waje na wadhamini kwa kuwa wamekaa ndani (mahabusu ya Poli-si) kwa siku 70 hadi walipoletwa mahakamani, hivyo ndugu zao hawajui kuwa wapo mahakamani.

“Mheshimiwa Hakimu, naomba utupangie tarehe fupi ili tu-je kudhaminiwa kwa sababu tumekaa siku 70 ndani hadi leo hii tunaletwa mahakamani. Ndugu zetu hawajui kama tupo hapa mahakamani,” amedai Mlogo na kuongeza:

“Tumechukuliwa tu na kupakiwa katika gari, hatukuambi-wa tunaletwa huku, hivyo hatuna mawasiliano na ndugu zetu. Ndiyo maana unaona hakuna wadhamini waliokuja, kwa sababu hawana taarifa.” Hoja hiyo iliungwa mkono na washtakiwa wenzake.

Hakimu Mhini ameeleza kuwa anapanga tarehe inayotam-bulika kisheria ya siku 14 kwa washtakiwa waliokosa dha-mana, ili iwapo wadhamini watapatikana, wapelekwe ma-hakamani kwa hati ya wito kutoka rumande, ili waende kupata dhamana.

Hakimu Mhini baada ya kutoa ufafanuzi huo ameahirisha kesi hadi Agosti 12, 2025 kwa ajili ya kutajwa, na washtakiwa wamepelekwa rumande.
Maswali ni mengi.... ila linalonipa sonona ni hili la wajomba wamegushi vibali vya silaa kwa matumizi yapi?
 
Mbona wote ni wagalatia, hii itakuwa ni njama yao kujimilikisha silaha ili mlete vurugu
Kijakazi
 
Mimi naomba picha ya Julieth Moshi nimuone kwanza huyu Binti mpambanaji
 
Cha kushangaza majambazi wanaofoji hati za kumiliki siraha kesi yao inaonekana ni nyepesi kuliko mwanasiasa Nchi ngumu hii..
Hao ni Majambazi ya kutumia siraha msikwepeshe ukweli..
 
Hizo silaha za kughushi ndio zile zilizowaua raia wasiokuwa na hatia MO29. Hawo wapumbavu wakanyongwe tu!
 
Yaani jambazi kuu litoe ushahidi kwenye kesi ya ujambazi.

Naona kampeni iliyopo kwa sasa ni kumleta Mafwele kwenye spotlight ili aonekane sana na azoeleke kwa watu ili wamuone wa kawaida ili kufuta maovu yake aliyofanya gizani hapo kabla.

Hili jambazi ni inductee wa ile kesi ya October 29 , amehusika kwa mauaji ya watu wengi sana .
 
Back
Top Bottom