Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,971
- 14,387
Hutaki ufanyiwe doria umtukane bibi tu?Hawa mapolisi wanaopokea rushwa hadharani barabarani.
Polisi Hawa wanao bambikizia watu kesi Kisha kuomba rushwa Ili watoke ndani.
Hawa polisi wanaoajitiwa kwa sifa ya kuwa mrefu zaidi ya wengine na mwenye mbio badala ya akili.
Wanafanya doria mitandaoni. Yaani mzungu anagundua simu Kisha mjinga mmoja hapo central anafanya doria kuangalia wengine wanatumiaje simu zao.
Pumbavu polisi anashindwa kujua hata maana ya haki