Mafuta Zanzibar yanukia.... yasaini Mkataba na SHELL

Lengeri

Senior Member
Joined
Jul 3, 2009
Posts
180
Reaction score
18
[h=1]The largest European oil producer, Royal Dutch Shell plc (“Shell”) and the Revolutionary Government of Zanzibar have signed a Memorandum of Understanding (MoU) on exploitation of gas and oil recently discovered in the Isles.
The MOU describes in particular the initial activities related to Oil and Gas capacity building and Youth Development activities supporting the development of skills amongst Youth, including educational initiatives and entrepreneurial skills and capabilities.
Shell holds at least four exploration licenses off Zanzibar and is working with Petroleo Brasileiro SA (PETR4), according to Tanzania Petroleum Development Corp.
:
:
Experts said in the past that the problem comes up when it relates to investing in Zanzibar or within its territorial waters, where Zanzibar authorities want a separate agreement with investors, whereas the latter want a single agreement covering Tanzania as a whole.

Lengeri

[/h]
 
sasa na haya mafuta labda wayachimbe Unguja ambako kuna tone tu la mafuta ila wakija wakichimba Pemba ambako ndipo yalipo hasa hayo mafuta kutachimbika this time.
CUF wamekuwa wanafiki kwa Mtwara tunawasubir hili sababu Pemba ndio tuliowapa jeuri hawa CUF.
Tumezoea kufanyiwa unyama na hawa wanasiasa na baadae kututumia kama simu ya touch .
CUF iliisema sana CCM wakati ipo madarakan pekee kama ndio inaitenga Pemba sasa tunataka wao watuoneshe kwa vitendo kwenye hili la mafuta ikiwa yatachimbwa katika ardhi yetu sababu nawao sasa ni serikali pia.
Sisi ni visiwa viwili tofauti neno Zanzibar tu ndio limetuweka pale pamoja na juhudi za Mkoloni baada kukosa karafuu Unguja sasa isiwe sababu kugeuzwa mkoa wa Zanzibar bwana.
Karafuu sisi ndio tunatoa 70% lakin inanufaisha Unguja zaidi yetu sisi ,sasa nahofia mafuta kuchimba kwetu halafu eti Unguja ndio iwe na maamuzi ya kile ambacho sisi ni mali yetu its better wakichimba hilo tone lao huko Unguja !
 
Sasa Kama mnazalisha iweje msinuffaike...umizeni vichwa sio kulalama..hata hiyo gesi hamtafaidi
 
BxAarfa Mziki wenyewe ni hapo mgombea urais wa CCM atakapochaguliwa kutoka bara
 
Last edited by a moderator:
Wacheni kuchonganisha watu. Toeni mawazo mbadala.

Hivi unajua Pemba tupo nyuma kiasi gani wakati sisi ndio Allah katujaalia hayo mafuta,karafuu na mengi ambayo Zanzibar inaringia sisi hatujatangaza kujitenga voo hapana tunachotaka ni haki itendeke wala sikusema tunataka serikali yetu Pemba hapana ninachotahadharisha mm ni ile namna ya huo mchakato kuendeshwa.
Mbona watu waliwasupport Mtwara ambao ni mkoa tu iweje kwetu iwe ndio ubaya wakati ni kisiwa?
 
Sasa Kama mnazalisha iweje msinuffaike...umizeni vichwa sio kulalama..hata hiyo gesi hamtafaidi

Wasiwasi wangu ni huo na sio gesi tu bali hata hayo mafuta pia,
Ila viongozi wetu ndio wanaishi Dar halafu hawana sifa ile ya uongozi ni siasa chafu ndio zimewaeka madarakani ila wao ndio waniuza Pemba ila time will tel
 
Hivi unajua Pemba tupo nyuma kiasi gani wakati sisi ndio Allah katujaalia hayo mafuta,karafuu na mengi ambayo Zanzibar inaringia sisi hatujatangaza kujitenga voo hapana tunachotaka ni haki itendeke wala sikusema tunataka serikali yetu Pemba hapana ninachotahadharisha mm ni ile namna ya huo mchakato kuendeshwa.
Mbona watu waliwasupport Mtwara ambao ni mkoa tu iweje kwetu iwe ndio ubaya wakati ni kisiwa?
Viongozi wapu-mba-vu ndiyo wanaoliangamiza Taifa, Maamuzi ya wananchi ndiyo msingi wa utawala uliopata ridhaa. Tafakarini ni nini muhimu katika kuleta mabadiliko ya kweli kwenu na kizazi chenu. Mkitegemea CCM wanaojuana, Ukoko mtaambulia.
 
MOU on exploitation of GAS AND AND OIL RECENTLY DISCOVERED IN ISLE- very very interesting to say the least.
 
Manake nini hapa kwamba watanganyika sisi ni bongolala nchi zote jirani zinajikita kwenye maendeleo yao sisi tukiwa kimya Zanzibar tayari wametutenga wanasaini mkutaba na wadachi si ina maana ni nchi anakuja kingunge hapa na meno yake ya bandia kutaka kutukwaza eti ooh serikali mbili how wakati Zanzibar imeshaanza kuingia mikataba kivyake
 
Vunjeni muungano mfaidi mafuta yenu, kwa raha zenu.
 
...kwa mtaji huo wa mafuta,CCM jiandaeni kuwafukuza wanachama wengine wengi kutoka Zanzibart kwani wanaotaka mungano wa serikali tatu/mkataba wataongezeka maradufu...
 
Kama Zanzibar imefikia kiwango cha kusaini mikataba ya nje badala ya kusainiwa na Tz.Tanganyika hatuna chetu hapo na muungano ulishaisha zamani tumebaki na muungano kivuli.
 
sasa na haya mafuta labda wayachimbe Unguja ambako kuna tone tu la mafuta ila wakija wakichimba Pemba ambako ndipo yalipo hasa hayo mafuta kutachimbika this time.
CUF wamekuwa wanafiki kwa Mtwara tunawasubir hili sababu Pemba ndio tuliowapa jeuri hawa CUF.
Tumezoea kufanyiwa unyama na hawa wanasiasa na baadae kututumia kama simu ya touch .
CUF iliisema sana CCM wakati ipo madarakan pekee kama ndio inaitenga Pemba sasa tunataka wao watuoneshe kwa vitendo kwenye hili la mafuta ikiwa yatachimbwa katika ardhi yetu sababu nawao sasa ni serikali pia.
Sisi ni visiwa viwili tofauti neno Zanzibar tu ndio limetuweka pale pamoja na juhudi za Mkoloni baada kukosa karafuu Unguja sasa isiwe sababu kugeuzwa mkoa wa Zanzibar bwana.
Karafuu sisi ndio tunatoa 70% lakin inanufaisha Unguja zaidi yetu sisi ,sasa nahofia mafuta kuchimba kwetu halafu eti Unguja ndio iwe na maamuzi ya kile ambacho sisi ni mali yetu its better wakichimba hilo tone lao huko Unguja !

wewe ni mtanganyika ulie jivisha ujinga kuwasemea wapemba nahisi unaumwa na z'bar kuendelea endelea na propaganda za kinyerere
 
Hehehehe mm mzaliwa Hospitali Chake Chake nimesoma shule nursery Maandalizi Madungu pia nimesoma primary shule ya Madungu nimesoma chuo cha Msikiti wa Ijumaa Pemba Chake kwa Maalim Khamis Pesa:
Kwetu nitakapozikwa Inshaallah ni Wesha tena ndani Ndagoni ama /mabaoni Furaha ama Airport Pemba sikutajii elimu yangu ya secondary wala chuo na mahali ninapoishi na sehemu ambayo napatikana now sababu ya usalama wangu .
Na hili sio sababu ya Nyerere hapana lahasha mm naongea kile ambacho nakiona nawewe si utowe ushahidi watu wajue kama ni uongo Mradi wa taa Za barabarani Zanzibar ,Unguja wameingiziwa Taa zamani wameshaanza kuziharibu Pemba mpaka sasa hela mumekula vipi nikupe na siri ya Bandari, Airport, Barabara na Elimu
Muulize Ismail Jussa waraka alouandika kuhusu Pemba 2008 vipi umeshafanyiwa kazi au ndio wamelewa na madaraka?
 
sasa na haya mafuta labda wayachimbe Unguja ambako kuna tone tu la mafuta ila wakija wakichimba Pemba ambako ndipo yalipo hasa hayo mafuta kutachimbika this time.
CUF wamekuwa wanafiki kwa Mtwara tunawasubir hili sababu Pemba ndio tuliowapa jeuri hawa CUF.
Tumezoea kufanyiwa unyama na hawa wanasiasa na baadae kututumia kama simu ya touch .
CUF iliisema sana CCM wakati ipo madarakan pekee kama ndio inaitenga Pemba sasa tunataka wao watuoneshe kwa vitendo kwenye hili la mafuta ikiwa yatachimbwa katika ardhi yetu sababu nawao sasa ni serikali pia.
Sisi ni visiwa viwili tofauti neno Zanzibar tu ndio limetuweka pale pamoja na juhudi za Mkoloni baada kukosa karafuu Unguja sasa isiwe sababu kugeuzwa mkoa wa Zanzibar bwana.
Karafuu sisi ndio tunatoa 70% lakin inanufaisha Unguja zaidi yetu sisi ,sasa nahofia mafuta kuchimba kwetu halafu eti Unguja ndio iwe na maamuzi ya kile ambacho sisi ni mali yetu its better wakichimba hilo tone lao huko Unguja !
Juzi ccm unguja walikuwa wakali sana wakati walipokuwa wakimjadili Mansour kwa kutotiii katiba ya chamba hayo yalikuwa maneno ya Mbunge chombo, akaendelea kusema kwamba ikiwa wapemba wanataka kuuvunja muungano wacha tuvunje muungano wa unguja na pemba, hehe hawajui kwamba unguja uchumi wake unasimama na wanzanzibari wenye asili ya pemba, wafanya biashara wote wa unguja kutoka pemba, mafuta yapo pemba, karafuu pemba, ana jeuri gani huyu na mahafidhina wengine wa unguja kuleta ubaguzi wao baina yetu wanzanzibari ?

Kweli elimu ni muhimu sana, mimi niko tayari kujitenga na unguja kama tutaendelea na muungano wa tanganyika na zanzibar kwa mfumo huu tulionao mbili kwenda moja, siko tayari kuitwa mtanzania au mtanganyika. ever
 
Hata CUF ni wahafidhina tu wanatumia siasa kwa maslahi binafsi tu mm hata huko kuitwa Mzanzibar sitaki coz sio asili yangu mm ni Mpemba na Pemba ilijitegemea wenyewe mpaka Sultan alipokuja kutawala huku kwa upuuzi huu tunaofanyiwa sisi Pemba sipo tayari hata na huo uzanzibar
 
Back
Top Bottom