Mafuta Zanzibar yanukia.... yasaini Mkataba na SHELL

Mafuta Zanzibar yanukia.... yasaini Mkataba na SHELL

[h=1]The largest European oil producer, Royal Dutch Shell plc (“Shell”) and the Revolutionary Government of Zanzibar have signed a Memorandum of Understanding (MoU) on exploitation of gas and oil recently discovered in the Isles.
The MOU describes in particular the initial activities related to Oil and Gas capacity building and Youth Development activities supporting the development of skills amongst Youth, including educational initiatives and entrepreneurial skills and capabilities.
Shell holds at least four exploration licenses off Zanzibar and is working with Petroleo Brasileiro SA (PETR4), according to Tanzania Petroleum Development Corp.
:
:
Experts said in the past that the problem comes up when it relates to investing in Zanzibar or within its territorial waters, where Zanzibar authorities want a separate agreement with investors, whereas the latter want a single agreement covering Tanzania as a whole.

Lengeri

[/h]

Kwa jinsi ulivyotiririka kwanza inaonesha wewe si cuf
 
hakuna asiye tafuta masilahi binafsi katika siasa zote duniani.[

zanzibari ombeni muungano wa mkataba ili Tanganyika tuwe huru.
 
Faida kubwa ya hiyo MoU baina ya Shell na Zanzibar ni pale tutakapoweza kujua ni Mkataba upi ni wa kifisadi, maana Tanzania pia tumeshaingia mkataba wa gesi ya Mtwara na Wachina.
 
Hata CUF ni wahafidhina tu wanatumia siasa kwa maslahi binafsi tu mm hata huko kuitwa Mzanzibar sitaki coz sio asili yangu mm ni Mpemba na Pemba ilijitegemea wenyewe mpaka Sultan alipokuja kutawala huku kwa upuuzi huu tunaofanyiwa sisi Pemba sipo tayari hata na huo uzanzibar
hahaa we sio mpemba definitely
 
Juzi ccm unguja walikuwa wakali sana wakati walipokuwa wakimjadili Mansour kwa kutotiii katiba ya chamba hayo yalikuwa maneno ya Mbunge chombo, akaendelea kusema kwamba ikiwa wapemba wanataka kuuvunja muungano wacha tuvunje muungano wa unguja na pemba, hehe hawajui kwamba unguja uchumi wake unasimama na wanzanzibari wenye asili ya pemba, wafanya biashara wote wa unguja kutoka pemba, mafuta yapo pemba, karafuu pemba, ana jeuri gani huyu na mahafidhina wengine wa unguja kuleta ubaguzi wao baina yetu wanzanzibari ?

Kweli elimu ni muhimu sana, mimi niko tayari kujitenga na unguja kama tutaendelea na muungano wa tanganyika na zanzibar kwa mfumo huu tulionao mbili kwenda moja, siko tayari kuitwa mtanzania au mtanganyika. ever

Nbora kujitenga na waunguja kwanza wao nwatwana na hata hao wa kusini pemba wakileta za kuleta waende kwanza ami mpemba asili hasa hakuna nmweusi!
 
sasa na haya mafuta labda wayachimbe Unguja ambako kuna tone tu la mafuta ila wakija wakichimba Pemba ambako ndipo yalipo hasa hayo mafuta kutachimbika this time.
CUF wamekuwa wanafiki kwa Mtwara tunawasubir hili sababu Pemba ndio tuliowapa jeuri hawa CUF.
Tumezoea kufanyiwa unyama na hawa wanasiasa na baadae kututumia kama simu ya touch .
CUF iliisema sana CCM wakati ipo madarakan pekee kama ndio inaitenga Pemba sasa tunataka wao watuoneshe kwa vitendo kwenye hili la mafuta ikiwa yatachimbwa katika ardhi yetu sababu nawao sasa ni serikali pia.
Sisi ni visiwa viwili tofauti neno Zanzibar tu ndio limetuweka pale pamoja na juhudi za Mkoloni baada kukosa karafuu Unguja sasa isiwe sababu kugeuzwa mkoa wa Zanzibar bwana.
Karafuu sisi ndio tunatoa 70% lakin inanufaisha Unguja zaidi yetu sisi ,sasa nahofia mafuta kuchimba kwetu halafu eti Unguja ndio iwe na maamuzi ya kile ambacho sisi ni mali yetu its better wakichimba hilo tone lao huko Unguja !

Watu waliyaona haya kuwa Zanzibar ikijitenga ...basi wataendelea kubaguana wao kwa wao...Hata hiyo pemba ikijitenga na Zanzibar bado mtaendelea kubaguana ...#dhambi ya ubaguzi

Sasa exploration tuu mnataka kutoa macho ...baada ya exploration ikijulikana hamna kitu au kuna matone kwote kama unavyosema .

Halafu sultani aliuza ukanda wa bahari yote kwa mjerumani ikawa mali ya Tanganyika#fact
 
Hii inaitwa laana ya rasilimali mtapigana mtabaguaana lakini mwisho wa sikuu faida inakwenda kwa mzunguu

Akili zetu bado sana kuvuna rasilimalj hizii bora zikaachwa ipo siku watafaidi vizazi vwetuu
 
sasa na haya mafuta labda wayachimbe Unguja ambako kuna tone tu la mafuta ila wakija wakichimba Pemba ambako ndipo yalipo hasa hayo mafuta kutachimbika this time.
CUF wamekuwa wanafiki kwa Mtwara tunawasubir hili sababu Pemba ndio tuliowapa jeuri hawa CUF.
Tumezoea kufanyiwa unyama na hawa wanasiasa na baadae kututumia kama simu ya touch .
CUF iliisema sana CCM wakati ipo madarakan pekee kama ndio inaitenga Pemba sasa tunataka wao watuoneshe kwa vitendo kwenye hili la mafuta ikiwa yatachimbwa katika ardhi yetu sababu nawao sasa ni serikali pia.
Sisi ni visiwa viwili tofauti neno Zanzibar tu ndio limetuweka pale pamoja na juhudi za Mkoloni baada kukosa karafuu Unguja sasa isiwe sababu kugeuzwa mkoa wa Zanzibar bwana.
Karafuu sisi ndio tunatoa 70% lakin inanufaisha Unguja zaidi yetu sisi ,sasa nahofia mafuta kuchimba kwetu halafu eti Unguja ndio iwe na maamuzi ya kile ambacho sisi ni mali yetu its better wakichimba hilo tone lao huko Unguja !
R.I.P Julius K. Nyerere
uliona mbali sana, kwa kauli hii uliyotabiri yanaweza kutimia.
 
Kama Zanzibar imefikia kiwango cha kusaini mikataba ya nje badala ya kusainiwa na Tz.Tanganyika hatuna chetu hapo na muungano ulishaisha zamani tumebaki na muungano kivuli.

Kwani tafsiri ya muungano wa Tanzania ni nini?
 
Hehehehe mm mzaliwa Hospitali Chake Chake nimesoma shule nursery Maandalizi Madungu pia nimesoma primary shule ya Madungu nimesoma chuo cha Msikiti wa Ijumaa Pemba Chake kwa Maalim Khamis Pesa:
Kwetu nitakapozikwa Inshaallah ni Wesha tena ndani Ndagoni ama /mabaoni Furaha ama Airport Pemba sikutajii elimu yangu ya secondary wala chuo na mahali ninapoishi na sehemu ambayo napatikana now sababu ya usalama wangu .
Na hili sio sababu ya Nyerere hapana lahasha mm naongea kile ambacho nakiona nawewe si utowe ushahidi watu wajue kama ni uongo Mradi wa taa Za barabarani Zanzibar ,Unguja wameingiziwa Taa zamani wameshaanza kuziharibu Pemba mpaka sasa hela mumekula vipi nikupe na siri ya Bandari, Airport, Barabara na Elimu
Muulize Ismail Jussa waraka alouandika kuhusu Pemba 2008 vipi umeshafanyiwa kazi au ndio wamelewa na madaraka?

Hiyo ya kuwa Mpemba haikufanyi kuwa na mawazo yasiyo na tija kwa Wapemba walio wengi. Unaonaje ukaanzisha harakati za imani yako na kuona kiasi gani utapata sapoti lakini hadi hapo mawazo yako bado hayawa ya faida.
 
Juzi ccm unguja walikuwa wakali sana wakati walipokuwa wakimjadili Mansour kwa kutotiii katiba ya chamba hayo yalikuwa maneno ya Mbunge chombo, akaendelea kusema kwamba ikiwa wapemba wanataka kuuvunja muungano wacha tuvunje muungano wa unguja na pemba, hehe hawajui kwamba unguja uchumi wake unasimama na wanzanzibari wenye asili ya pemba, wafanya biashara wote wa unguja kutoka pemba, mafuta yapo pemba, karafuu pemba, ana jeuri gani huyu na mahafidhina wengine wa unguja kuleta ubaguzi wao baina yetu wanzanzibari ?

Kweli elimu ni muhimu sana, mimi niko tayari kujitenga na unguja kama tutaendelea na muungano wa tanganyika na zanzibar kwa mfumo huu tulionao mbili kwenda moja, siko tayari kuitwa mtanzania au mtanganyika. ever

Kwa bahati mbaya mfamaji haachi kutapatapata na Chombo alikuwa anatapatapa na kama unavyosema elimu haikuweza kumsaidia kufahamu kuwa uhusiano wa Pemba na Unguja si uhusiani wa kuja. Alivyoamini yeye kuwa kwavile asili yake ilitoka Bara basi anaweza kuwa sawasawa na alietoka Pemba as far as unguja concern.
Wasaliti hawakosekani katika jamii hivyo tuwachukulie kama walivyo. Imani yangu nahisi mwandishi alihitajika kuchukuliwa hatuwa kwa kuandika habari kama ile. Ujinga wa mtu unaweza kuleta hali mbaya na mwandishi kuupigia debe ujinga wa mtu si uandishi mzuri.
 
hivi nyerere alikuwa nabii ama?? nahisi kama maneno yake yanatimia tusubiri tuone!!!
 
Muda si mrefu Pemba itaanza kudai uhuru wake kutoka kwa Wakoloni wa Unguja......anayebisha aweke dau.

Pemba ikiwa Taifa basi hata Mafia na Ukerewe na Ukara vitakuwa mataifa kamili ! Hv ni Rais gani ataweza kuwaongoza watu walalamishi wadini na wabishi kiwango hicho. !
 
Pemba ikiwa Taifa basi hata Mafia na Ukerewe na Ukara vitakuwa mataifa kamili ! Hv ni Rais gani ataweza kuwaongoza watu walalamishi wadini na wabishi kiwango hicho. !
Unahitaji brain wash.
 
God bless Zanzibar na Mafuta,
isiwe mwanzo wa mfarakano.
Iwe mwanzo wa Neema na Maendeleo.
Iimarishe uhusiano na Majirani zake.
Hata Muungano ukivunjika lakini undugu baina wakazi wa pande mbili uendelee.
 
Back
Top Bottom