Mafuta ya UBUYU YANAUZWA

Mafuta ya UBUYU YANAUZWA

hayo mafuta unayatumiaje? unapakaa mwilini au unaungia mboga au unapaka kwenye mkate au kukaangia samaki au
 
hayo mafuta unayatumiaje? unapakaa mwilini au unaungia mboga au unapaka kwenye mkate au kukaangia samaki au

hayo mafuta unaweza kupaka kama lotion hasa kwenye eneo ambalo limeathirika.
Pia yanatumika kwa kunywa kwa kuweka kwenye kijiko,au waweza kupikia
 
Unatumiaje?

unaweza ukanywa kwa kuweka kwenye kijiko kama unavyokunywa dawa ya KIKOHOZI,
PIA UNAWEZA KUPIKIA,NA UNAWEZA KUPAKA KAMA LOTION KWENYE NGOZI HASA KWENYE SEHEMU ILIYOATHIRIKA,HASA KWA MATATIZO YA FUNGI
 
View attachment 73707

packing yenu iko vipi? nimeona haya mafuta yanauzwa mitaani wame-pack kwenye chupa za valuer na vichupa vingine vidogo vilivyoisha chilli source

mnahitaji kuimarisha packaging

nnaweza kuwasaidia kupata machine ya kupack mafuta haya kwenye sachet/bag three side sealing PEP material kama hapo juu .... volume 50-100mls

this machine can fill and pack liquids ... capacity 60 bags/minute

sawa mdau ndo kwanza tunaingia sokon mtaj ni mdogo,ila tunaweka kwenye dumu la lita tano ambalo ni sealed toka kiwandani,ukitaka lita 1 unamiminiwa kwenye chupa ya lita 1 ya uhai,lakin tuna mpango wa kununua vidumu vya lita moja toka viwandani,then tuviweke brand logo yetu
 
Hata pale kituo cha mabasi cha Mlimani City ukitokea Ubungo barabara ya Mandela kuna jamaa anauza,sasa sijui yana ubora au ndio walewale

mfianchi mjin hapa kila mtu ana strategies zake,ila haya sisi hatununui kwa mtu,tunayatengeneza wenyewe,ndo maana bei yake ni ya kawaida tu,kama upo dodoma basi pifa simu namba ya 1 hapo juu na utafika hadi KIWANDANI
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom