Mafuta ya taa kwenye chakula mashuleni

Mafuta ya taa kwenye chakula mashuleni

Hii tabia inabidi serikali ifuatilie sana kwa ukaribu kwani bila hivyo watoto wetu watapata cancer baadae
 
mafuta huwa hawaweki hilo ninauhakika, chanzo cha halufu hiyo ni utunzaji mbovu wa unga wanaposaga hasa kama mahindi yamesangwa kwenye mashine za mafuta ya dizeli
Mkuu kama umepitia shule za bweni huwa wanaweka kwenye maharage
 
Hata maharage yanawekewa, ss tushagoma hadi kula
 
Back
Top Bottom