Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,661
Wadau wa jf hivi nisahihi chakula anachokula binadamu kutiwa mafuta ya taa? Kama hamna je wanaotufanyia hivyo mashuleni kwetu kwa lengo la kutupunguza mihemuko wanapata wapi kibali hicho(uongozi mzima wa shule)je mafuta hayo yamethibitishwa na wataalam na kugundua kuwa hayana athari kwa binadamu? Je serikali inalitambua hilo? Kama ndiyo, inachukua hatua gani kwa wahusika? Naombeni mawazo yenu ndugu zanguni wa jf.
