Mafuta ya petrol yahadimika kwenye vituo vya BP, Engine.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta ya petrol yahadimika kwenye vituo vya BP, Engine..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Logician, Oct 25, 2011.

 1. L

  Logician Senior Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nimepita petrol stations za BP (Mwenge), Bp (Mikocheni), Engine (Mikocheni), Total (Morrocco), BP (Upanga), Orx (Posta), Total (Akiba), BP (Fire) kote hakuna mafuta ya petrol. Imebidi nipaki gari maeneo ya vijana. Je kuna mtu anaweza niambia wapi naweza pata mafuta? Vipi EWURA wanajua kama BP, Engine.... wana uhaba wa mafuta ya petrol?


  Msaada tafadhali.
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Sirikali haina pesa za kutosha kulipa mishahara inabidi ku-create artificial demand ili watu wanunue kwa wingi na sirikali ikusanye kodi kupata mshiko wa kulipa wafanyakazi mwezi huu.Poleni wabongo.
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kuanguka kwa TZS kutatuletea matatizo makubwa - Serikali nyingi ZIMEPINDULIWA kutokana na MFUMUKO WA BEI!
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Wanadai tatizo sio wao ila ni uchakavu wa magari yetu.........matanki ya magari yametoboka hivyo petroli nyingi hupotea
   
 5. V

  Vonix JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ni kweli jana Bp haikuwa na mafuta ya petrol kabisa lakini leo 25.10.2011 yapo vituo vyake vimenunua.
   
 6. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  yani hapa nimeshaongea maneno yote huu ufedhuli wa hii serikali LEGELEGE ya ccm
  hakuna mafuta ata apa na gari kesho napaki...
  ila hawa watu wanaotutawala?hivi wametoa sababu yoyote?je waandishi wa habari kazi yao nini?na marehemu ewura hakuona hili tatizo/hawakujua uhaba huu utatufika na wamekaa ofisini tu awa makima?
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  nimekwenda fasta big bon sinza nimeweka wese la kutosha ss nasikilizia kesho itakuwaje. hii serikali isiyo na uwezo ya CCM ituachie nchi yetu sasa.
   
 8. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Yaloikumba Libya Yako Karibu Sana, Kila siku tatizo jipya. Toka huu mwaka uanze hakuna siku sijasikia au kushuhudia ulegelege wa siri-kali hii
   
 9. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hapo umenunua nusu petrol nusu kerosene ha ha ha ha!!! ujanja siyo kuwahi
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Kuna vituo vingine vya mafuta bora tu nipaki gari yangu nipande daladala.
   
Loading...