Mafuta ya petrol kuadimika tena mpaka tarehe 4 mwakani kuanzia leo

KIROJO

Senior Member
Dec 7, 2011
169
21
Nimepata habari kuwa mafuta yataindimika tena Dar es salaam ,mwenye habari kutoka jikoni atujuze hapa jamvini ,mie mafuta huwa naweka ya sh 10,000/= kwa siku jamani nipeni uhakika nijiandae jamani
 
Nimepata habari kuwa mafuta yataindimika tena Dar es salaam ,mwenye habari kutoka jikoni atujuze hapa jamvini ,mie mafuta huwa naweka ya sh 10,000/= kwa siku jamani nipeni uhakika nijiandae jamani

Ngoja nitafute namba ya Titus Kaguo nimuulize lakini na yeye huwa anasema uongo!
 
Nimepata habari kuwa mafuta yataindimika tena Dar es salaam ,mwenye habari kutoka jikoni atujuze hapa jamvini ,mie mafuta huwa naweka ya sh 10,000/= kwa siku jamani nipeni uhakika nijiandae jamani

K wa taarifa nilizonazo ni uongo kwa upande wa Dar es salaam.Ni tetesi rumour mongering zinazosambazwa na wafanyabiashara wa mafuta uchwara zinazolenga kufanya watu wakimbie vituoni kununua mafuta vituoni ku-clear stock zilizojaa ili wafunge hesabu zao za mwaka vizuri.Wengi wana mafuta kibao kwenye ma-tank.Kipindi wenye mafuta walipogoma wengi walinunua mafuta kwa wingi ma-full tank,vidumu,na mapipa na baadaye wale waliogoma kuuza kipindi kile walipofungua vituo wakakuta mauzo hayaendi sababu watu walikuwa na mafuta tayari.Sasa mimafuta i inawadodea na mwisho wa mwaka ndio huu sasa wanatafuta watu wa-panick wakanunue ili wafunge mwaka na pesa za mauzo na siyo mifuta kwenye matanki ardhini.

Mafuta yapo kibao Dar ASIKUDANGANYE MTU.
 
Back
Top Bottom