Habari wakuu.... Ni miaka. Sasa nahangaikia tatizi langu bila kupona...!
( ndoto mbaya na za kutisha)
Katika pitapita zangu za hapa na pale nikakutana na matumizi ya miski kuondoa na kumdhoifisha jini mahaba..!
Niliamua kwenda kwenye maduka ya kisunna nikanunja kwa shilingi 5000..tu!!,
Ila nimeanza kutumia kichwa kinaniuma sana sana.... Naombeni wajuzi mnijuze je ni kawaida?
Kwa upande mwingine haya mafuta yananukia vizuri mno ( ni kama manukato hivi) ila nikinusa harufu Yake nakuwa km nataka kutapika..
Kila mmoja wa familia ananiambia kama ni pafyume basi awami hii nimejua kuchagua..
Naombeni kujua na kuhusu hospitali nimetoka hiko sasahivi sina ugonjwa wowote... Asanteni..!