MAFUTBOL
Member
- Apr 4, 2012
- 34
- 10
Fukwe
ya Kawe Club inatumiwa na wahujumu uchumi kwa kutumia mianya ya uzembe
wa polisi wetu nyakati za usiku.Wanachokifanya ni kutumia mitumbwi
ambayo huambaa ambaa mpaka karibu na meli ambazo ziko kwenye foleni
kuelekea kwa ajili ya upakuliwaji wa mizigo bandarini.
Hii si habari ya kubuni ni kwa macho yangu nimeona wakati naenda
kuangalia fainali ya Madrid na Atletiko majira ya saa 4 usiku.