Mafuta ya kupikia bei juu, Chips bei ile ile!

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,411
Reaction score
40,103
Wapenda chips mnalishwa Sumu bila kupenda, haiwezekani mafuta ndoo ya 10ltrs iuzwe 75,000 TZS kutoka 38,000 TZS (ongezeko karibia 100%) Ila chips mtaani Bei Ile Ile. Wafanyabiashara hao wamejiongeza Kwa gharama za mlaji. STUKA

 
Acha kupotosha watu wewe, ni zaidi ya mwaka sasa kwa Dar mafuta yamekuwa yakiuzwa tsh.5000 kwa lita, na sasa hivi yako kwenye 6000!! Lakini viazi vimekuwa vikiuzwa kwa tsh.1500.

Kama ungekuwa umeshawahi kufanya biashara hii wala usinge kuja na utumbo huo!! Bei ya chipsi inaweza kupanda sana kutokana na viazi kupanda sana!! Lakini mafuta ni inshu ndogo sana, kutokana na faida kubwa iliyopo kwenye biashara hiyo, labda wa kuwahurumia ni kina mama lishe lakini sio muuza chipsi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…