Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,330
- 964
Jamaa mmoja alikuwa anaendesha mkokoteni wa punda,siku moja alimuuliza rafik yake,kwanin magari yanaenda mbio sana kuliko mkokoten?,. Alijibu kwa kuwa magar yanatumia mafuta. Siku ya 2 jamaa akaenda shell na punda wake akamnyanyua mkia punda,akasema atiwe lita 5 za petrol. Petrol ilimuwasha punda matakon akatoka mbio jamaa akamfukuza kidogo kisha akarud akavua suruali na kuinama akamwambia muuza mafuta amtie lita 10 haraka amfukuzie punda wake. Unajua nini kilitokea?,we acha tu ntarud kesho.