Mafuta ya asili ya nazi au mzeituni

Mafuta ya asili ya nazi au mzeituni

k-bee

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
977
Reaction score
1,110
Rejea kichwa cha habari...natafuta mafuta ya asili ya nazi au mzeituni kwa ajili ya tiba mbadala.......Npo shinyanga
 
Kwenye maduka ya ya madawa ya asili yapo, juzi tu nmetoka kununua mafuta ya mzaituni (olive)
 
nunua Minara 2000 mbona yapo kila mahali!
 
Minara si mafuta bora atengeneze au akanunue kwenye maduka ya asili au ya vyakula yalioandikwa extra virgin
 
Back
Top Bottom