Mafuta mazuri ya wanaume

Wauzie tuu shost ikibidi uwaonyeshe na namna ya kujipaka [emoji125][emoji125][emoji125]
 
kwani ni siri mkuu.yamekauka hadi yanatoa unga aaah nani asiejua?
Miss ungekuja kistarabu ukaandika bila kuweka hivyo vichombezo vya maungoni ungepiga hela ya maana Na ungetengeneza base market ya kudumu!!

Ushauri omba msamaha kisha andika Uzi mpya Wa kistarabh
Peace

DJ sepetu
 
Hi biashara yako imekaa kimafia mafia au ndo mmetumwa kukusanya data za watu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…