Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
- Thread starter
-
- #121
hamtaki ukweli mkuu?yaani dada miss natafuta ni heri ungesema tu mafuta kwa ajili ya ngozi za wanaume ila hiyo makalio kuwa nini sijui unaharibu soko lako.
ndio maana maswali mengi yamezuka kuhusu iyo kauli ,vinginevyo muda huu ungekua unapokea oda tu
*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
wanaume wengi wana makalio yamekaukaa, mikono vikogo vyeusii ukijumlisha na mapombe wanayokula na chips basi vijana wadogo ngozi zimezeeka sijui uzeeni watakuwaje
nimeamua kuuza mafuta ya kuwasaidia
njoo pm uwe na ngozi yenye afya.
bei tsh 20,000 tu unaletewa ulipo
ukinunua kopo mbili unapewa zawadi ya boxer bure!
Mimi sivaagi boxer, zawadi utanipa nini?wanaume wengi wana makalio yamekaukaa, mikono vikogo vyeusii ukijumlisha na mapombe wanayokula na chips basi vijana wadogo ngozi zimezeeka sijui uzeeni watakuwaje
nimeamua kuuza mafuta ya kuwasaidia
njoo pm uwe na ngozi yenye afya.
bei tsh 20,000 tu unaletewa ulipo
ukinunua kopo mbili unapewa zawadi ya boxer bure!
nitakupaka mafuta ahahaaaMimi sivaagi boxer, zawadi utanipa nini?
Aisee.nitakupaka mafuta ahahaaa
yakiharbika unanuna menginehayalainishi makalio mkuu yanafanya ngozi ya kalio iwe nyororo . malakio makabu yanaharibu suruali na mashuka
hamtaki ukweli mkuu?
duh mimi makalio yangu naogopa hata kuyashika halafu leo naambiwa niyapake mafuta yawe laini, kazi kwelikweli
Sent using Jamii Forums mobile app
No, thank you!
Utaanza kusambaza hayo mafuta mwishowe utasema unatoa kabisa na huduma ya kutupaka!
Mshenzi sana wewe binti!
tatizo kauli tatanishi yenyewehamtaki ukweli mkuu?
Ukhuty nawe unaunga mkono tako la mwenzawako liwe lainiiii mie sitaki
Ukhuty nawe unaunga mkono tako la mwenzawako liwe lainiiii mie sitaki
Sent using Jamii Forums mobile app