Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,028
- 52,505
Naomba kama unaweza ku-snip tool sehem ya pm, make siionagi.wanaume wengi wana makalio yamekaukaa, mikono vikogo vyeusii ukijumlisha na mapombe wanayokula na chips basi vijana wadogo ngozi zimezeeka sijui uzeeni watakuwaje
nimeamua kuuza mafuta ya kuwasaidia
njoo pm uwe na ngozi yenye afya.
sijakuelewa mkuuNaomba kama unaweza ku-snip tool sehem ya pm, make siionagi.
njoo pmn uweke odaTukuje wapi?
hayalainishi makalio mkuu yanafanya ngozi ya kalio iwe nyororo . malakio makabu yanaharibu suruali na mashukaAhahaa huwezi fanya biashara mpaka utoe dongo.
Ivi kuna wanaume wanataka makalio yawe laini laini
Napita
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ni biashara mkuu .unataka kila mtu auze sioWeka picha ya mafuta kwanza.
pmTukuje wapi?
Aiseeehayalainishi makalio mkuu yanafanya ngozi ya kalio iwe nyororo . malakio makabu yanaharibu suruali na mashuka
tusi lipo wapi mkuuhaya ni matusi watch out, no to that extent
We unataka kulainisha makalio ya wanaume kisha ? kwenda zako huko wewe.wanaume wengi wana makalio yamekaukaa, mikono vikogo vyeusii ukijumlisha na mapombe wanayokula na chips basi vijana wadogo ngozi zimezeeka sijui uzeeni watakuwaje
nimeamua kuuza mafuta ya kuwasaidia
njoo pm uwe na ngozi yenye afya.
bei tsh 20,000 tu unaletewa ulipo
hayalainishi makalio ila ngozi ya kalio mkuuWe unataka kulainisha makalio ya wanaume kisha ? kwenda zako huko wewe.
ahhaaaa why mkuu?Ila wewe ungeumbwa mwanaume ungekuwa mzinfu sana!
kwani ni siri mkuu.yamekauka hadi yanatoa unga aaah nani asiejua?Hivi umejuaje kwamba makalio ya Wanaume wengi yamekauka?
Hao wanaume wako huwa wanakukubalia uwapapase?
Wewe binti unaniogopesha sana!