Mafuta mazuri ya kupikia kwa mtu anayefanya diet.

diet

Member
Aug 1, 2012
56
8
A.slm...wana JF...
naomba kujuzwa mafuta mazuri ya kupikia kwa mtu anayefanya diet... kuna mmoja ameniambia olive oil ni mazuri... naomba na wewe unijuze zaidi tafadhali
 
mafuta ya alizeti ni borasana hasa ukipata ambayo hayajachakachuliwa mimi ninayo nimenunua singida nauza lita 5 sh 16500 nakuhakikishia ni salama na mazuri mawasiliano0717215506 ipopia asali ya singida na una test kbsa ubora kwa wataalam,unaweza tumia asalibadala ya sukari kuepuka magonjwa
 
Ka ujumla mafuta ya mbegu ni mazuri kama vile olive oil (extra virgin)
- mafuta ya soya
Mafuta ya ufuta
mafuta ya alizeti
mafuta ya karanga
mafuta ya mahindi
mafuta ya nazi (sijui kama yanatumika kupikia ila kwa kupaka ni mazuri)
 
mkuu Rubi,
Extra Virgin Olive Oil (EVOO) haitumiwi kupikia chakula. Hutumika kwa kuchovya ( dipping) na kwenye salads au kuongezea ladha kwenye Supu au mchuzi uliopikwa tayari ukiwa mezani tayari kwa kuliwa.
Katika utaalamu wa mapishi kuna baadhi ya mafuta yakichemshwa kufikia nyuzi joto fulani hubadilika na kuwa sumu (toxin),moja ya hayo mafuta ni EVOO.
 
Kama unataka diet kula michemsho. Mafuta yoyote hayafai kwa mtu anayediet.
A.slm...wana JF...
naomba kujuzwa mafuta mazuri ya kupikia kwa mtu anayefanya diet... kuna mmoja ameniambia olive oil ni mazuri... naomba na wewe unijuze zaidi tafadhali
 
Ka ujumla mafuta ya mbegu ni mazuri kama vile olive oil (extra virgin)
- mafuta ya soya
Mafuta ya ufuta
mafuta ya alizeti
mafuta ya karanga
mafuta ya mahindi
mafuta ya nazi (sijui kama yanatumika kupikia ila kwa kupaka ni mazuri)

Ha ha......JF raha bana asikwambie mtu......mafuta ya nazi mazuri kwa kujipaka.......wakati wa diet.......
 
mkuu Rubi,
Extra Virgin Olive Oil (EVOO) haitumiwi kupikia chakula. Hutumika kwa kuchovya ( dipping) na kwenye salads au kuongezea ladha kwenye Supu au mchuzi uliopikwa tayari ukiwa mezani tayari kwa kuliwa.
Katika utaalamu wa mapishi kuna baadhi ya mafuta yakichemshwa kufikia nyuzi joto fulani hubadilika na kuwa sumu (toxin),moja ya hayo mafuta ni EVOO.
Du asante kwa kunifahamisha nilikuwa sijui.

Maana mie huwa nanunua hiyo extra VOO kisha nikawa napenda kama kukaangia mchicha ingawa pia naweka kwenye saladi na supu kama ulivyosema. Hivyo nitabadili mwelekeo. pia huwa napenda kujipaka usoni usiku nikienda kulala au kwenye nywele zangu maramojamoja.

Tuzidi kuelimishana.
 
Tuko pamoja wala usijali mkuu. Nadhani kwa matumizi ya mezani EVOO ni mazuri na bora kiafya. Ila kwa matumizi ya Jikoni Fine Virgin Oil iko vizuri na baadhi ya mafuta mengine ya mbegu za nafaka Kama ulivyoelezea kwenye moja ya post hapo awali.
 
Back
Top Bottom