Mafuta (lotion) ya kujipaka wanaume na athari zake

nimeshatumia lotion hizi Nivea for men,Vaseline for men,Clere men zote naona hazieleweki!nimerudi kwenye samli(just kidding!)
Utanishukuru baadae sana ukitaka:tafuta mafuta yanaitwa africana ya nazi chupa ndogo 7500 kubwa 15000 paka kama miezi miwili ngozi itakuwa laini balaa ila haibadiriki baada ya hapo anza kupaka minara au halisi ni 1500 tu.nimeyatumia sana na naendelea kuyatumia nikipata hela
 
Back
Top Bottom