f de solver
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,339
- 1,834
Sawa lakini kama unayajua naomba nitajie jina.Tembelea duka la Twaiba hutojutia, unaweza kuwagoogle Twaiba classic utakuta namba zao za simu, wana kila products uitakayo na ushauri utapata.
Maana hao twaib naona wapo kariakoo dsm namimi sipo DSMTembelea duka la Twaiba hutojutia, unaweza kuwagoogle Twaiba classic utakuta namba zao za simu, wana kila products uitakayo na ushauri utapata.
Wanatuma popote, bidhaa zao hazipo madukaniMaana hao twaib naona wapo kariakoo dsm namimi sipo DSM
Sawa asante sana...Mafuta pekee hayatasaidia kufanya hayo yote inatakiwe azingatie matunzo ya ngozi yake, ajue aina ya ngozi yake, mpangilio wa chakula, unywaji wa maji n.k
Ahakikishe ana toner ni muhimu, awe anafanya scrub walau mara moja au mbili kwa wiki pia katika hizo product utakazomnunulia usisahua serum ya vitamin C ni muhimu kwa ngozi ili apate matokeo anayoyataka bila kusahau sunscreen-cream ni muhimu
Hiyo toner ni nini?Mafuta pekee hayatasaidia kufanya hayo yote inatakiwe azingatie matunzo ya ngozi yake, ajue aina ya ngozi yake, mpangilio wa chakula, unywaji wa maji n.k
Ahakikishe ana toner ni muhimu, awe anafanya scrub walau mara moja au mbili kwa wiki pia katika hizo product utakazomnunulia usisahua serum ya vitamin C ni muhimu kwa ngozi ili apate matokeo anayoyataka bila kusahau sunscreen-cream ni muhimu
Asante sana ngoja nitafanya hivyo nione itakuaje.Ngoja na mimi nikupe my recipe.
Chukua mafuta ya mgando (petroleum jelly) lile kopo la ujazo wa kati, changanya vijiko 4 vya asali mbichi na vijiko 3 vya mafuta ya nazi koroga vizuri mchanganyiko huo na awe anajipaka usoni na hata anaweza kujipaka mwili mzima kwani mchanganyiko huo ni dawa nzuri sana ya ngozi na pia inatunza ngozi hata kwa mtu asiyekuwa na ugonjwa wa ngozi.
Hiyo toner ni nini?
Sawa asante sana...
Nitamwambia azingatie hivyo vitu ulivyosema
Kwahiyo hizo serum na hivyo vingine ndo vita acti kama mafuta?
Asante sana ubarikiwe.Hivyo vyote vinasaidiana na mafuta kupata ayo matokeo anayoyataka
AmenAsante sana ubarikiwe
Nakuona mrembo wa JF vyakula gani ni muhimu kwa afya ya ngozi?Mafuta pekee hayatasaidia kufanya hayo yote inatakiwe azingatie matunzo ya ngozi yake, ajue aina ya ngozi yake, mpangilio wa chakula, unywaji wa maji n.k
Ahakikishe ana toner ni muhimu, awe anafanya scrub walau mara moja au mbili kwa wiki pia katika hizo product utakazomnunulia usisahua serum ya vitamin C ni muhimu kwa ngozi ili apate matokeo anayoyataka bila kusahau sunscreen-cream ni muhimu
Mafuta gani ni mazuri kuifanya ngozi ya mtu iwe.soft kama ya mtoto??yataje tun hata kama ni laki tanoHivyo vyote vinasaidiana na mafuta kupata ayo matokeo anayoyataka
mafuta gani ni mazuri kuifanya ngozi ya mtu iwe.soft kama ya mtoto??yataje tun hata kama ni laki tano