Mafuta kuondoa chunusi na kung'arisha uso

f de solver

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
2,339
1,834
Habari wakuu naombeni mnijuze mafuta ambayo yatamsaidia mwanamke kuondoa.

1. Chunusi usoni
2. Kung'arisha uso (isiwe kumchubua)
3. Pia kumuondolea mafuta mafuta usoni
4. Kumfanya awe soft soft hivi

1619605476123.png

Tembelea duka la Twaiba hutojutia, unaweza kuwagoogle Twaiba classic utakuta namba zao za simu, wana kila products uitakayo na ushauri utapata.
 
Mafuta pekee hayatasaidia kufanya hayo yote inatakiwe azingatie matunzo ya ngozi yake, ajue aina ya ngozi yake, mpangilio wa chakula, unywaji wa maji n.k

Ahakikishe ana toner ni muhimu, awe anafanya scrub walau mara moja au mbili kwa wiki pia katika hizo product utakazomnunulia usisahua serum ya vitamin C ni muhimu kwa ngozi ili apate matokeo anayoyataka bila kusahau sunscreen-cream ni muhimu
 
Sawa asante sana...

Nitamwambia azingatie hivyo vitu ulivyosema

Kwahiyo hizo serum na hivyo vingine ndo vita acti kama mafuta?
 
Mafuta pekee hayatasaidia kufanya hayo yote inatakiwe azingatie matunzo ya ngozi yake, ajue aina ya ngozi yake, mpangilio wa chakula, unywaji wa maji n.k

Ahakikishe ana toner ni muhimu, awe anafanya scrub walau mara moja au mbili kwa wiki pia katika hizo product utakazomnunulia usisahua serum ya vitamin C ni muhimu kwa ngozi ili apate matokeo anayoyataka bila kusahau sunscreen-cream ni muhimu
Hiyo toner ni nini?
 
Ngoja na mimi nikupe my recipe.

Chukua mafuta ya mgando (petroleum jelly) lile kopo la ujazo wa kati, changanya vijiko 4 vya asali mbichi na vijiko 3 vya mafuta ya nazi koroga vizuri mchanganyiko huo na awe anajipaka usoni na hata anaweza kujipaka mwili mzima kwani mchanganyiko huo ni dawa nzuri sana ya ngozi na pia inatunza ngozi hata kwa mtu asiyekuwa na ugonjwa wa ngozi.
 
Asante sana ngoja nitafanya hivyo nione itakuaje.
 
Ngoja tuwasubiri wajuzi wa mambo.

Ila kuna ka-dawa mi nakajua ni kazuri sana & very strong sasa sijui katakupenda kanaitwa JIKUBALI.

Kajaribu hako mkuu.
 
Mafuta pekee hayatasaidia kufanya hayo yote inatakiwe azingatie matunzo ya ngozi yake, ajue aina ya ngozi yake, mpangilio wa chakula, unywaji wa maji n.k

Ahakikishe ana toner ni muhimu, awe anafanya scrub walau mara moja au mbili kwa wiki pia katika hizo product utakazomnunulia usisahua serum ya vitamin C ni muhimu kwa ngozi ili apate matokeo anayoyataka bila kusahau sunscreen-cream ni muhimu
Nakuona mrembo wa JF vyakula gani ni muhimu kwa afya ya ngozi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom