Mafuta ghafi yapanda bei baada ya Iran kushambuliwa

Mafuta ghafi yapanda bei baada ya Iran kushambuliwa

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,131
Bei ya mafuta ghafi imepanda kufikia kiwango cha juu zaidi tangu Januari mwaka huu, baada ya Marekani kushambulia vinu vya nyuklia vya Iran.
Soma, Pia: Mafuta ghafi yapanda bei baada ya Iran kushambuliwa

Kuna hofu kuwa huenda bei hiyo ikapanda zaidi endapo Iran itafunga lango la Hormuz kama sehemu ya kulipiza kisasi. Lango hilo hupitisha wastani wa asilimia 20 ya mafuta ghafi duniani.
 
20250623_125240.jpg
 
 
Back
Top Bottom