Mafuru: Knowledge is knowing what to say...

Vipi bukoba zile rambirambi mlifanikiwa kupewa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mungu anakuona, usimfanyie hivo nwenzio. I think it was just a typo
Nilikuwa namchokoza tu mkuu. Maana kuna typo zingine yaani zimekaa patamu kiasi kwamba kuzi-ignore ni vigumu sana. I failed on this one [emoji23][emoji23][emoji23]
 
GPA halali sio ujasiri. Wapo wasomi kibao na GPA zao halali waoga sana. Ni ujasiri tu wa mtu mkuu.
Sawa lakin ujasir unakuja pale unaposimamia kitu unachokiamini na unakielewa...ukiambiwa fixed acc n ufisad kama unajiamin utapinga..kama hujiamin sasa...utasubir awamu iishe
 
Sasa hiyo misemo yake inasaidia nini? Nani ana mda nayo. Yeye keshatumbuliwa aache kuweweseka
Watu kama Mafuru huwa hawakosi kazi...utamsikia kaajiriwa sehem nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…