Mafuru: Knowledge is knowing what to say...

mmmh
 

Attachments

  • FB_IMG_1481222381322.jpg
    18.1 KB · Views: 35
Napitaatuu
 

Attachments

  • FB_IMG_1481222275646.jpg
    18.1 KB · Views: 40
Ni mpuuzi sana na andiko lake ni kutokana na kupanic. Kama wisdom ni knowing when to say basi namshauri siku nyingine aongeze na 'where' to say it. Yeye kama ni wiser enough basi alitakiwa ajue alikokwenda kutolea tuhuma zake haikuwa sehemu sahihi kwa nafasi aliyonayo. Alikuwa kama refa anayechezesha mpira kwa kuwafata mashabiki wakati yeye ana kanuni zinazomuongoza. Asijionesha kihiyo kiasi cha kushindwa kujua kwamba taratibu za kazi zina communication frame work serikalini, na taasisi ya umma haindeshwi kama unavyoongoza nyumbani kwako.

Sitaki kusema sana lakini kama kweli ni msomi basi namkumbusha akaisome upya kozi ya Public Administration na Management.
 
Hivi wanaposema "atapangiwa kazi nyingine si huwa wanaendelea kula vinono vya nchi?" Sasa kama anaendelea kuvuta mshahara kelele ya nini? Ila maumivu ni pale unapokosa hata kiti cha kukalia sijui unakuwa unazungukazunguka kwenye corridor?
 
Ukisoma na kupata GPA yako kihalal raha sana...unakuwa huogopi...unamchallenge ata boss wako sio wale walioungaunga elimu...chuon GPA za chabo
GPA halali sio ujasiri. Wapo wasomi kibao na GPA zao halali waoga sana. Ni ujasiri tu wa mtu mkuu.
 
We ndio umekosea!
 
Escrow hiyo ambayo magufuli anailipa hadi leo
 
Thank you for telling us nothing.
 

What if he actually knew anatumbuliwa, so he decided to say it? Right now everyone think alitumbuliwa kwa kauli yake, nothing else. If so it means he is very wise because he knew when to say it.
 
HII MIJIITUU ILIZOEAA ITAISHII MADARAKANI MILELE IMEFIKAMDAA WAACHIE WENZAKE ALLAH AANDIKE HUKUU AKISUBIRI KAZI NIYNGINE


AJUEE HATA UCHUNGUZI N KAZII NYINGINE
Hivi MADARAKA na UTUMISHI ni sawa? nauliza tu
 
Nilivyomwelewa,our president lacks both knowledge and wisdom.He just spoke the issue of FDA in a layman's thought.(Knowledge is knowing what to say&Wisdom is knowing when to say)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…