Mafuriko yapelekea Mji wa Mbale kukosa maji kwa takribani siku tatu

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,547
Ukosefu wa maji umeikumba Manispaa ya Mbale kwa zaidi ya siku tatu kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa na kupelekea miundo mbinu ya Idara ya maji ya Uganda (NWSC) kuharibika.

Akifafanua zaidi kuhusu tukio hilo, Mkuu wa kitenga cha Idara ya Maji Uganda Bw. Solomon Efearael amethibitisha kutokuwapo kwa maji katika maeneo hayo tangu jumatatu na kueleza kuwa mafuriko hayo yaliharibu mabomba manne katika chanzo kikuu kinachosambaza maji katika maeneo hayo ambapo mvua ikinyesha huchochea kasi ya maji kuwa kubwa na hatimaye kuharibu mfumo wa maji katika maeneo mbalimbali.

Aidha, amesisitiza kuwa tatizo hilo linaendelea kufanyiwa kazi ili kuhakikisha maeneo hayo yanapata maji tena.

Kwa upande mwingine, ripoti zinaeleza kuwa mafuriko hayo pia yaliathiri mazao, makazi ya kuharibu malimbalimbali za watu wanaokaa karibu na mto Nabuyonga katika wadi ya Busamage Mjini Mbale. Sambamba na hilo mafuriko hayo yalipelekea Daraja la Busamage kuvunjika na baadhi ya barabara za maeneo hayo kuharibika.

Afisa wa Idara ya Maji katika ukanda huo anaweka bayana kuwa maaeneo yaliyoathiriwa zaidi na ukame wa maji kutokana na mafuriko hayo ni Namatala, Namakwekwe, Nkoma, Nauyo- Bugema, Maluku pamoja na katika kota za Wahindi.

1574915538878.png

Zaidi soma:
An acute water shortage has hit Mbale Municipality for the past three days following floods, which damaged the National Water and Sewage Cooperation (NWSC) water pipelines.

Mr Solomon Efearael, the plant superintendent of NWSC in Mbale, confirmed to Daily Monitor on Monday that there was no water supply to the area.
“The downpour destroyed water pipes in four different water intakes that is why we do not have water supply,” he said.
“When it rained, water came with a lot of force and destroyed the pipeline system because locals have encroached on the river banks,” Mr Efearael added.

He, however, said they are working to stabilise the pipeline network so that the residents can have access to water.
The floods, which were triggered by rain in Bugisu Sub-region also destroyed crops and displaced residents settling on the stretch of River Nabuyonga in Busamaga Ward, Mbale Town.

The floods also damaged Busamage bridge and a sections of roads, including Mbale-Nkokonjeru, Bugema-Busano and Mbale-Bufumbo. It also affected Livingstone International University and Mbale Resort Hotel.

The eastern NWSC public relations officer, Ms Doreen Kapsulel, said most of the affected areas facing water crisis include Namatala, Namakwekwe, Nkoma, Nauyo-Bugema, Maluku and Indian quarters, among others.

“The engineers have embarked on works to repair the pipeline,” she said.

Residents and food vendors operating in Mbale Town have since been forced to trek long distances to the wells to fetch water for domestic and commercial purposes.

Mr Moses Mwambu, a resident of Busamaga Ward, said they are now fetching water from unsafe sources. “The situation at the moment is not good. We have to fetch water from the streams,” he said.

Mr Yasin Magomu, another resident, expressed fear of an outbreak of cholera. “With this scarcity of clean water, anything is possible including the outbreak of cholera,” he said.

Ms Amina Nandudu, who operates a food kiosk at Mbale Central Market, advised NWSC to speed up the process of repairing the pipeline.
“We are buying a jerrycan of water at Shs500, which is a lot of money and if we continue operating like this, we will be forced to close our businesses,” she said.

Chanzo: Daily Monitor
 
Back
Top Bottom