njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,258 Reaction score 7,101 Aug 10, 2015 #41 Wengi hapo ni wauza maji na wengi hawajajiandikisha .... October 25 sio mbali,,
mpasta JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 919 Reaction score 2,007 Aug 10, 2015 #42 Ccm ijifunze watu mtaani wamechoka ukawa hata kama wangemsimamisha wema sepetu watu wangempigia kura
M-mbabe JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 13,201 Reaction score 23,030 Aug 10, 2015 #43 Th Name said: habari picha Click to expand... aisee...huyu jamaa noma sana! sasa ina maana akina Nape ndo itakuwaje sasa baada ya 25/10?
Th Name said: habari picha Click to expand... aisee...huyu jamaa noma sana! sasa ina maana akina Nape ndo itakuwaje sasa baada ya 25/10?
GOD THE BOSS Senior Member Joined Aug 4, 2015 Posts 145 Reaction score 39 Aug 10, 2015 #44 njiwa said: Wengi hapo ni wauza maji na wengi hawajajiandikisha .... October 25 sio mbali,, We una kichaaaa... Click to expand...
njiwa said: Wengi hapo ni wauza maji na wengi hawajajiandikisha .... October 25 sio mbali,, We una kichaaaa... Click to expand...
MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,092 Reaction score 7,235 Aug 10, 2015 #45 hent said: Huyu jamaa hazuiliki ni garika Click to expand...
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,940 Reaction score 5,746 Aug 10, 2015 #46 blessings said: ukawa mmezoea photoshop tumewachoka sasa. ccm chama dola milele Click to expand... Peleka ujinga huko Huna adabu gamba ww unanuka mdomo kwanza toka hapa kijana mdogo upo sisiem kwel we unautaira jitambue mwehu mkubwa
blessings said: ukawa mmezoea photoshop tumewachoka sasa. ccm chama dola milele Click to expand... Peleka ujinga huko Huna adabu gamba ww unanuka mdomo kwanza toka hapa kijana mdogo upo sisiem kwel we unautaira jitambue mwehu mkubwa
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,940 Reaction score 5,746 Aug 10, 2015 #47 njiwa said: Wengi hapo ni wauza maji na wengi hawajajiandikisha .... October 25 sio mbali,, Click to expand... Peleka ujinga huko Huna adabu gamba ww mnawaza kuiba tuu
njiwa said: Wengi hapo ni wauza maji na wengi hawajajiandikisha .... October 25 sio mbali,, Click to expand... Peleka ujinga huko Huna adabu gamba ww mnawaza kuiba tuu
Things Fall Apart Senior Member Joined Jun 26, 2012 Posts 178 Reaction score 146 Aug 10, 2015 #48 HeartBreak said: Ni katiba tu....leo lowassa angeingia ikulu kabisa....oct 25 ni mbali sana Click to expand... Ha ha haaa dah nimecheka hapa sina mbavu dah! huu ukweli aisee
HeartBreak said: Ni katiba tu....leo lowassa angeingia ikulu kabisa....oct 25 ni mbali sana Click to expand... Ha ha haaa dah nimecheka hapa sina mbavu dah! huu ukweli aisee
Moneyowner JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,422 Reaction score 1,253 Aug 10, 2015 #49 afadhali mwishowe CCM imetoka madarakani
N NSHOMA FRANCOUS JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 698 Reaction score 326 Aug 10, 2015 #50 Watanyooka...tunachotaka ni nchi yetu waliyoingeuza koloni lao, haiwezekani tuibiwe rasilimali zetu, na kazi ya ucarpenter afanye mchina, akirudi kwao anaondoka na pembe za ndovu...Tufanye nchi itakayoheshimika kwa kuiondoa CCM october 25
Watanyooka...tunachotaka ni nchi yetu waliyoingeuza koloni lao, haiwezekani tuibiwe rasilimali zetu, na kazi ya ucarpenter afanye mchina, akirudi kwao anaondoka na pembe za ndovu...Tufanye nchi itakayoheshimika kwa kuiondoa CCM october 25
Kaisari JF-Expert Member Joined Nov 13, 2012 Posts 3,636 Reaction score 3,045 Aug 10, 2015 #51 njiwa said: Wengi hapo ni wauza maji na wengi hawajajiandikisha .... October 25 sio mbali,, Click to expand... Kweli, kwa sababu wayza maji sio watanzania hawapaswi kupiga kura. Zaidi sana hatujajiandikisha hata mimi Sijajiandikisha !!!!!!! Furahi shangilia
njiwa said: Wengi hapo ni wauza maji na wengi hawajajiandikisha .... October 25 sio mbali,, Click to expand... Kweli, kwa sababu wayza maji sio watanzania hawapaswi kupiga kura. Zaidi sana hatujajiandikisha hata mimi Sijajiandikisha !!!!!!! Furahi shangilia
Muota Ndoto Member Joined Dec 4, 2007 Posts 89 Reaction score 128 Aug 10, 2015 #52 kayaman said: baba mwanaasha na timu yake ya wacheza viduku wakiona hivi wananuna ile mbaya Click to expand... View attachment 275039
kayaman said: baba mwanaasha na timu yake ya wacheza viduku wakiona hivi wananuna ile mbaya Click to expand... View attachment 275039
M mkosafedha JF-Expert Member Joined May 19, 2015 Posts 1,330 Reaction score 277 Aug 10, 2015 #53 Muota Ndoto said: View attachment 275039 Click to expand... Mshika kitonga
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Aug 10, 2015 Thread starter #54 M-mbabe said: aisee...huyu jamaa noma sana! sasa ina maana akina Nape ndo itakuwaje sasa baada ya 25/10? Click to expand... atakuwa anashangaa tu
M-mbabe said: aisee...huyu jamaa noma sana! sasa ina maana akina Nape ndo itakuwaje sasa baada ya 25/10? Click to expand... atakuwa anashangaa tu
kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,244 Aug 10, 2015 #55 Kikwete alilewa na uamiri jeshi mkuu. Kuwapa madaraka haya makabila madogidogo ni shidahaa sana
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,254 Aug 10, 2015 #56 MeinKempf said: Click to expand... njiwa kasema ni wauza maji!
rr4 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 3,947 Reaction score 5,858 Aug 10, 2015 #57 Uzuri ni kuwa vijana wote sasa tuna mwamko wa kupiga kura kuliko ilivyokuwa mwaka 95. Viva EL
M MICHAEL JOSEPH93 Senior Member Joined Aug 1, 2015 Posts 118 Reaction score 5 Aug 10, 2015 #58 Naamn mwaka huu watahesbu kura wiki nzima
W wallu Member Joined Jul 11, 2015 Posts 30 Reaction score 2 Aug 10, 2015 #59 Watanzania wamekwisha amuwa.. ukawa inaenda ikulu
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,957 Aug 10, 2015 #60 Ha ha ha ha ha hahahahahahaahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahhahahahahahahaahhahahahahha Somo litaeleweka tu!!:bange::bange::bange:
Ha ha ha ha ha hahahahahahaahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahhahahahahahahaahhahahahahha Somo litaeleweka tu!!:bange::bange::bange: