mafuriko ya lowassa

Jaman nimekoma crudii tena kumdharau lowasa. Heshima kwako rais wangu
 
Ha ha ha.. ccm wanajifariji ati hao wote hawajajiandikisha kupiga kura..!
 
ukawa mmezoea photoshop tumewachoka sasa. ccm chama dola milele
 
25 October mtoke hivyo hivyo kupiga kura.
 
Naombeni tuombee amani ya nchi yetu kwa pamoja, ushindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…