Tatizo huelewi kwamba just as faith is the realm of religion, knowledge is the realm of science.
Hahahaaaa...hiyo bado hainishawishi kuhusu hiyo nadharia ya evolution.
Naweza kusema wanasayansi bado wana safari ndefu sana katika kuielezea hiyo dhana.
Yaani unakataa kwamba bacteria wame develop resistance kwa earlier antibiotics?
Nakataa hiyo development ya resistance kuwa ndiyo evolution kwa sababu hata binadamu ukitumia sana aina fulani ya dawa unajenga tolerance ambayo in essence haina tofauti na resistance.
Sasa kama mimi natumia Ambien kunisaidia kwenda kulala na baada ya muda ninakuwa sioni faida yake ina maana nitakuwa nime evolve?
Wewe ndiye usiye elewa na kuelewa sio fani yako kabisa,kama knowledge is the ream of science,kwa nini unahoji habari ya watu ambao ream yao ni faith,kwako wewe watu wenye faith hawana knowledge vivyo hivyo wenye knowledge hawana faith ? Kweli wanasayansi wa kukariri mambo safari yetu ni ngumu na ndefu sana...Kwa hiyo kudai empirical evidence ya kuwepo kwa Mungu ni swala la aina gani ?
Sasa kama unakubali kwamba binadamu na bacteria wana develop natural resistance kwa dawa kimsingi unakubaliana na evolution.
Unajua tatizo watu wakifikiri evolution wanafikiria mabadiliko ya miaka mabilioni yatokee mara moja.
Trait ya bacteria kuwa resistanT kwa antibiotic inatokana na ukweli kwamba, kama unaanza na bacteria 100 wa Malaria, na unatumia Chloroquine, 75 wakafa kwa sababu hawana DNA zenye advantage ya kuvumilia sana Chloroquine,na wakabaki 25 wenye DNA yenye uwezo wa kuvumilia sana Chloroquine, hao 25 watakaobaki watazaliana wenyewe kwa wenyewe na kufanya kiazaizi chao kitakachofuata kuwa a bit more resistanmt to Chloroquine kuliko kilichopita.
Na wao labda 70% yao watauawa na 30% ku survive wakiwa na resistance kubwa zaidi ya kizazi kilichopita.
Na wao labda 60% watauawa na Chloroquine kwa sababu ni resistant zaidi ya waliopita, hivyo hivyo wanaenda wakirithishana hii trait ya ku resist Chloroquine, mpaka bacteria wanakuwa totally resistant.
Evolution by natural selection, survival of the "fittest".
Give them hundred of million of years and a condusive environment and they evolve to more developed life forms, like you carbon based biped.

Poor scientific explanation,wakati wa utafiti hamkugundua kuwa kuna bacteria ambao DNA yao inatofautiana na wengine hata kama ni wachache,kwa IMANI mkatengeneza dawa inayoangamiza aina fulani ya bacteria na kuacha wengine wakiinjoy maisha,baada ya kushindwa huko mnakuja na hoja kuwa hiyo ni evolution,wakati ukweli ni kuwa hao bacteria walikuwa tofauti na wale mliowafanyia utafiti na kuwatengenezea dawa, Kiranga, una tatizo gani wakati hakuna evolution hapo bali palikosekana elimu juu ya aina fulani ya bakteria ?
HAPO MIMI NAONA UNAIKAANGA SAYANSI YAKO KULIKO kuthibitisha hicho unachokiita evolution kwenye bakteria,makosa ya kiutafiti kwako ndiyo evolution eeh ?

dude, maelezo yako yanaeleweka kidogo tatizo umechanganya kiasi, bacteria hawasababishi malaria na wala malaria haisababishwi wala kuenezwa na bacteria
Hapo ni kweli, kwa sababu bakteria watakaobaki wakizaliana ni wale ambao sayansi haikuwajua wakaendelea kupeta kwa kuwa wanasayansi walitengeneza silaha wa kuangamiza wale wenye 'blood group O' na kuacha wengine wenye muundo tofauti wa damu. Ni Mungu 'aliumba viumbe kwa jinsi zake' bakteria kwa jinsi zake,nyoka kwa jinsi zake, ndiyo maana hata sumu za panya haziuwi kila panya,watengenezaji wanajua sumu ipi inaua panya aina ipi,hata kama wanafanana kwa mtazamo wa macho,lakini maumbile ki DNA yanatofautiana,vivyo hivyo kwa bakteria.
nina IMANI, lakini,sijui kama una knowledge kuhusu hilo neno IMANI au ndo kukariri kwako utasema ni absence of knowledge,sijui ni kamusi ya wapi yenye tafsiri hiyo. ni nini kipimo cha knowledge, na ni nani anaweza hitimisha kuwa hapa sasa tumepata knowledge kuhusu kitu fulani wakati kila siku watu wanajifunza ? is it fair to call it a knowledge ? labda tuite blind faith...
Sasa kama unakubali kwamba binadamu na bacteria wana develop natural resistance kwa dawa kimsingi unakubaliana na evolution.
Unajua tatizo watu wakifikiri evolution wanafikiria mabadiliko ya miaka mabilioni yatokee mara moja.
Trait ya bacteria kuwa resistanT kwa antibiotic inatokana na ukweli kwamba, kama unaanza na bacteria 100 wa Malaria, na unatumia Chloroquine, 75 wakafa kwa sababu hawana DNA zenye advantage ya kuvumilia sana Chloroquine,na wakabaki 25 wenye DNA yenye uwezo wa kuvumilia sana Chloroquine, hao 25 watakaobaki watazaliana wenyewe kwa wenyewe na kufanya kiazaizi chao kitakachofuata kuwa a bit more resistanmt to Chloroquine kuliko kilichopita.
Na wao labda 70% yao watauawa na 30% ku survive wakiwa na resistance kubwa zaidi ya kizazi kilichopita.
Na wao labda 60% watauawa na Chloroquine kwa sababu ni resistant zaidi ya waliopita, hivyo hivyo wanaenda wakirithishana hii trait ya ku resist Chloroquine, mpaka bacteria wanakuwa totally resistant.
Evolution by natural selection, survival of the "fittest".
Give them hundred of million of years and a condusive environment and they evolve to more developed life forms, like you carbon based biped.
Hapana, sikubaliani na evolution inayo state kwamba over time wanyama hubadilika a la kutoka nyani (no pun intended) hadi binadamu.
Hayo mabadiliko yanayochukua mabilioni ya miaka ndiyo ninayokataa mimi. Ona hata terms zinazotumika...'millions'...'billions'. Come on now...science is all about specificity.
Nadhani H1N1 kalijibu vizuri tu hili. Tatizo linaweza kuwa labda wewe (sio wewe as a person) una limited knowledge ya complexity na diversity ya hao bacteria na kudhani kwamba wote wako sawa wakati yawezekana kabisa isiwe hivyo.
In human terms we call this stereotyping. Characteristic stereotyping to be exact.
Hundred million years...oh my!
Ukishakubali kwamba bacteria katika miaka 20 wanaweza ku develop resistance kwa antibiotics, mabadiliko hayo hayo ukiyapa a few billions of years yanabadili microorganism kuwa watu. The fundamental principle is the same, the difference is just scale. A few years produces minuscule and hardly detectable changes, a few billion years changes some microorganism into higher life forms.