Mafuriko Morogoro hatari

Mafuriko Morogoro hatari

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Jamani hizi mvua zinazoendelea hapa nchini zinazidi kuleta maafa hasa hapa mkoani morogoro baada ya leo mvua kuendelea kunyesha na kusababisha kero kubwa sana hasa kwa wasafiri waendao mikoa ya nyanda za juu kusini na nchi jirani za malawi na zambia ktk maeneo ya Doma.miti inasombwa kutoka maporini na maji yanakaribia kufunika daraja.
 
Imerudia tena jioni hii?! Tumeambiwa jana kuna bodaboda wa kimasai alisombwa na maji
 
Yani ata kusafiri saizi ishu duh!mvua zikiamua huwa ni hatari sana
 
Morogoro ni Mkoa kiunganishi kwenda sehemu.nyingi sana yaani nikikumbuka ile ya Dumila nilikuwa pale aaah hamu sina kabisa.

Hii ni kero na adha hasa kwawasafiri wengi.
 
Back
Top Bottom