Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 8,508
- 6,465
Tuna hitaji Viwanda 100 kila Mkoa Miuundo mbinu siyo kipa umbele
Duh! Ama kweli tembea uone. Nenda (au hata soma tu) majiji makubwa duniani iliwrmo London, Amsterdam utagundua kuwa yana mito iliyojengewa kuimarisha their natural direction na mito hii ni moja ya mjia za usafiri(ikiwemo utalii). Mimi ninashangaa aliyeruhusu kujenga jengo la mwendo kasi pale jangwani!Ukipewa Madaraka Fulani Halafu uka kwamishwa kwenye Utendaji Jukumu lako la Mwisho Ni kujiuzulu
Ukisubiri ufurushwe Kwa Wizi ndio uje useme hayo utaonekana Ni Mnafiki tu!
Mto always huwa unabadili uelekeo Na Kwa waliosoma Geograph Hata level ya Nursey school watakuwa wanajua kitu kinaitwa Meanders kwenye Mito!
Leo Watu w Pembezoni wanaweza kuwa ndani ya hifadhi ya Mto kesho wanaweza wasiwepo!
Leo unaenda kumbomolea Mtu Eti kujenga ndani ya hifadhi ya Mto 60 meter Kumbe Miaka 20 iliyopita wakati anajenga alikuwa 120 meter kutoka kwenye kingo Na Pengine aliejenga kwenye kingo wakati huo Leo hii yupo nje ya hizo kingo Kwa kuwa Maji yamebadilisha uelekeo
Wizara ya Ardhi chini ya Mama Escrow ndio ilikwamisha Mradi wa uboreshaji wa Mto Msimbazi Kwa kujengea River Banks zake mwanzo Mwisho
Wangapi wanaongea hivyo wahaya wamekufanya nn mpaka uwaandame hivyoSwahili english, Infwact kwa kweli unajua Mimi naitwa Rutashobolwa
Brother lini unaelekea Kwa spikaHizi ni nondo nzito, ila huyu Mama nae alikuja na mcheche sana na mkwala wa kusimamia, sheria taratibu na kanuni za mipango miji akidhani ataweza!.
Alipoingia tuu, akatia mkwala wa kubomoa wote waliovamia open spaces, akianza na ile open mbele ya Palm Beach.
Nilifanya nae mahojiano, recorded, nikamuuliza, kwa vile CCM ndiye mvamizi mkuu wa viwanja vya wazi, na vigogo ndio wamejimegea mapande manono, jee ataweza?. Alinijibu yeye haangalii sura wala hajali nani ni nani, yeye ni kufuata tuu sheria.
Nilipanga kumtafuta kupata mrejesho, lakini akatumbuliwa kabla!.
P