Mafuriko Dar, mvua kali ikiambatana na radi yanyesha, umeme wakatwa

Juma,hata mvua kidogo huliyumbisha jiji,sometym mvua za saa 2 tuhuleta tafran

Sawa kabisa, kwa mvua za saa 2 nakubaliana na wewe kuilaumu serikali, lakini mvua kubwa kama hizi hata kama ungekuwa na drinage system bora lazima ingeelemewa.
 
Natoa pole zangu kwa wahanga wa mafuriko na muache kulumbana kwani nchi zingine zinazo kumbwa na mafuriko au sunami walikuwa wanajua kwamba zitatokea.
 
Upanga hakuna maghorofa ya jeshi,pia makao makuu ya jeshi yapo karibia na palm beach au diamond jbelee na maneo ya hapo hakuna makaburi labda mpaka makaburi ya muhi2 au Redx ambapo ni mbali sana kwhyo Mwita25 na hiyo sos yake jipangeni,pili jibu ulilotoa hadi mie nimeshangaa ndo huyu huyu mwita25 au kuna mtu kahack acc yako?
 
Jiulize swali dogo, kwa nini unakubali kuuziwa kipande cha aridhi kando ya mto. Unataka kumlaumu nani?

Tatizo cio kipande kidogo cha ardhi ukitizama vizuri hilo bonde limejaaa viwanda, magodown na maukuta ya ajabu. na kwa attitude hiyo hata barabarani watu wanajenga sababu hatuna tabia ya kufuata sheria navilevile sheria zinapindwa kufuatana na wakati na matakwa ya wachache kwa maslahi ya mda fulani au mtu fulani
 
FUSO kwa mujibu Wa Mamlaka ya Hali ya Hewa ni kuwa Mvua iliyoyesha leo imevunja rekodi ya Mvua kubwa zilizowahi kunyesha Mwaka 1954, na pia Dr. Kijazi ameongezea kuwa wastani wa Mvua iliyonyesha leo tar 21/12/2011 ni wastani wa mvua zilizotegemewa kunyesha ktk mwezi huu. Sasa mkuu sijakuelewa vizuri unaposema mvua ya Jana na Leo imebeep tu kidogo, how?
Noeli njema
 
Tatizo si kudhibiti majanga, bali jinsi ya kubaliana na athari zake. Idara ya Hali ya hewa ilishatabiri kuwepo kwa mafuriko, serikali ilijiandaa vipi kukabiliana na hali hiyo. sasa hivi kuan watu wapo juu ya mapaa ya nyumba kwa zaidi ya saa 10, hapahapa dar, hakuna chombo cha uokozi kilichopwafikia.

Nilikuwa pale Jangwani leo na watu walichokuwa wanakisema kwa nguvu ni 'miaka 50 ya uhuru... mmetuonyesha masilaha mazito mazito lakini mnashindwa kuokoa maisha yetu, hizo silaha zinatusaidia nini?' Sijui ukisikia kauli kama hizo kutoka kwa wananchi unapata picha gani?

So sad to us but so fun to our leaders
 
Hebu kwa mwenye taarifa yo yote ya kuongezeka kina cha maji mabwawa ya Mtera, Kihansi na Kidatu anihabarishe, labda itatoa matumaini kuwa TANESCO wataondoa kusudio lao la kuongeza bei ya umeme.
Hata hivyo nina mashaka maana wao na EWURA lao ni moja yaani Umeme ukiongezeka Bei na Ewura mapato yanaongezeka, si mnajua wanapata 3% kutoka kila bill moja?? Kwa sasa EWURA wanalipana mishahara minono na marupurupu usipime, posho za wabunge cha mtoto. Hawajui hata wazifanyie nini. Subirini nitafute data shortly.
 
Hata serikali ambayo Mamlaka ya hali ya hewa ni sehemu ya idara zake nayo pia ilidhani utabiri ni wa kichina, kwani kama wangechukulia katika hofu ya kitaalam wasingesubiri huu utani wakuja kufanya mambo kwa dharura wakati muda wa maandalizi ulikuwepo. Kwa mimi naona dharura ya kuwahamisha watu kwa nguvu ina afadhali mara mia ya hii aibu iliyotokea.

Lawama tunazirudisha kwa serikali kwa kuwa nayo pia ilionyesha utani katika masuala ya muhimu ilikuwa na muda wa kupunguza impact lakini haikuchukua hatua stahili. Imekaa kimya kusubiri wasemaji mbalimbali waje wajinadi, taifa la dharura mpaka lini?

Tz ni nchi ya amani raia wake nh wavumilivu wa kila namna tunamshukuru mungu kwa hilo ila amani na uvumilivu tunaojinadi nao ndiyo unaosababisha yote haya nikimaanisha serikali yetu imekua legelege nasi wananchi tumekuwa kimya na madhara yameku yanatuumiza sisi huku viongozi hakuna hata mmoja anaeathirika na bila aibu hawajatoa hata kikosi cha kuokoa je jeshi letu linalolipwa kodi zetu lina msaada gani kama ndugu na jamaa zetu wanaangamia kwa majanga yanayozuilika kama haya?
 
Tatizo si kudhibiti majanga, bali jinsi ya kubaliana na athari zake. Idara ya Hali ya hewa ilishatabiri kuwepo kwa mafuriko, serikali ilijiandaa vipi kukabiliana na hali hiyo. sasa hivi kuan watu wapo juu ya mapaa ya nyumba kwa zaidi ya saa 10, hapahapa dar, hakuna chombo cha uokozi kilichopwafikia.

Nilikuwa pale Jangwani leo na watu walichokuwa wanakisema kwa nguvu ni 'miaka 50 ya uhuru... mmetuonyesha masilaha mazito mazito lakini mnashindwa kuokoa maisha yetu, hizo silaha zinatusaidia nini?' Sijui ukisikia kauli kama hizo kutoka kwa wananchi unapata picha gani?

....Picha unayoipata Mkuu MN ni kwamba Wananchi wamekata tamaa kabisa na Serikali iliyopo madarakani.
 
Hao wananchi wabishi sana. Mara nyingi serikali imekuwa ikiwatahadharisha juu ya kujenga mabondeni lakini wamekuwa wabishi kama dagaa. Hapo hakuna haja ya kuilaumu serikali ila wajilaumu wao wenyewe na ukaidi wao.

Nadhani wewe unafikiria kwa mabatax na ni mtu usiyekuwa na ubinadamu na nahisi yote hii inaatokana uhayawani wako. Sitakulaani kwa maneno yako ila ntaomba tu yakukute siku moja na usife ili ujifunze
 
Akili zenu za panya ndio zinaimaliza hii nchi...hivi serikali gani isiyo na mpango hata wa kupima ardhi tu..sasa mkuu wa mkoa anawalaumu wananchi na wananchi wanailaumu serikali duh kazi ipo!!

Kama waliweza kutumia nguvu kuzuia maandamano ya amani wameshindwa je kuwaondoa kwa wakati hawa watu? Shame on you Jk government
 
mafuriko yaikosekana mafisadi watakula wapi tumia akili yako okoa maisha yako ww binafsi usitegemee serikali inaedeshwa na mafisadi
 
Back
Top Bottom