Hivi hatuna watu wenye weledi wakuweza kutatua hili tatizo? mbona tua wataalamu wengi sana nchi hii? ua ndio mpangilio wa maisha yetu ktk upande wa walio nacho na upande3 wasio nacho?
Period ..kila mwaka hali hii inajitokezq na UDART wanashindwa ku-operate huduma yao ya usafiri ...lakini hakuna solution yeyote ile inayo tafutwa ili kutibu hilo tatizo ..... hili taifa linaongozwa na viongozi ma-cabbage
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.