Mafuriko Dar au..................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuriko Dar au.....................

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Apr 26, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,748
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Wakazi wa Dar es Salaam wakivuka Mto Tegeta wakiwa wamebebana baada ya daraja linalounganisha Salasala Kilimahewa na kulangwa Goba kubomoka.(Picha na Robert Okanda).
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tatizo Dar es salaam ni mifereji hamna ndio maana unaona maji yanakosa sehemu za kupita, sio kama kuna mvua kubwa zinanyesha
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,791
  Trophy Points: 280
  inabidi tumtafute mtu wa kumshika shati hapa na kinachotakiwa ni shinikizo toka kwa wananchi la sivyo hakuna atakayeshughulikia kwani kikwete mwenyewe yupo magogoni anajua kuwa kwa vile mpo kimya basi mmeridhika,yeye sio malaika wa kujua kuwa sehemu fulani daraja limebomoka au sehemu fulani hakuna sewage system , eti hamjawahi kusikia kbungeni kuwa halmashauri zimerudisha pesa hazina? hawajui wazipeleke wapi, kinachotakiwa ni sauti ya umma kama kuziba barabara au kumzuia mtu mkubwa hapo sauti zitasikika la sivyo tutaishia kuambiana tu wenyewe kwa wenyewe huku tukitaabika wajameni
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,791
  Trophy Points: 280
  aliyeweka ndoo kichwani ni mwanamke au mwanaume/? ananyanyua vyuma au hiyo ndoo anabebaga kokoto nini?
   
 5. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2011
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Njoeni kibaha huku . Hakuna mafuriko wala nini !
   
Loading...