B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,279
- 2,733
alafuu sijui ndo ile mis manyaraaaaaa...doh!!ilikuwa zahamaa kweli kweliihiyo Lakrome ilipatwa na masahibu gani....?kuna watu walioumia humo....?
alafuu sijui ndo ile mis manyaraaaaaa...doh!!ilikuwa zahamaa kweli kweliihiyo Lakrome ilipatwa na masahibu gani....?kuna watu walioumia humo....?
ilikuwaje....mafuriko yalitokea ghafla au dereva alijidai kuwa Lakrome ni meli.....?
Mtumaji picha naomba uwe na ubinadamu. Sijapendezewa kutuonyesha picha ya mtu aliyekufa. Tuwaheshimu marehemu. Tafadhali.
Hata mi najiuliza hilo swali..
dahhh lakini mafuriko yaliyotokea pale magugu mwaka 1998 yalinitishisha kwa kweli..
Mpunga ulipona pale?
eti na Dsm watu wanasema kuna mafuriko, nafikiri wakiyaona hayo mafuriko ya Arusha -Karatu, wenyewe watafuta kauli zao.
Mtumaji picha naomba uwe na ubinadamu. Sijapendezewa kutuonyesha picha ya mtu aliyekufa. Tuwaheshimu marehemu. Tafadhali.
Sijui unazungumzia hivi kwa misingi gani.Hata hivyo kibinadamu tu huwa si jambo zuri.Ndugu wa karibu wa huyu maiti hupata uchungu zaidi unaoweza kuleta kifo cha kihoro.Baba,mama,ndugu,mke na wengine wakilinganisha katika fikra vile alivyokaa bila kujisaidia kwa lolote na jinsi alivyoshindwa kujiokoa wakilinganisha na ukakamavu na ucheshi wake akiwa pamoja nao wakiona vile wanaumia sana na kilio na kushuka kwa presha haviepukiki kunakoweza kuleta kifo chengine.Hivi hii tabia ya kubandika picha za miili ya watu bila kutoa tahadhari yoyote ni kwanini ipo sana bongo? Naionaga inatokea mara nyingi sana, hata kwenye ITV nakumbuka kuna siku kwenye habari wakaanza kuonyesha mwizi anauliwa bila hata kutoa tahadhari.
Swali jingine ni kwanini hawajamshusha huyo kijana?
kunaa kabilaa flaniii...arushaa,kuanziaa mto ndurumaa hadi kikatiti...ole wako upate ajalii sehemu hizo,nimemuonaa huyo jamaa alie chukuliwaa na mafuriko ana butiii kalii then lipo mguuni bado,ingekutaa nikwa hao majamaaa sanyingii haipo.
Hivi hii tabia ya kubandika picha za miili ya watu bila kutoa tahadhari yoyote ni kwanini ipo sana bongo? Naionaga inatokea mara nyingi sana, hata kwenye ITV nakumbuka kuna siku kwenye habari wakaanza kuonyesha mwizi anauliwa bila hata kutoa tahadhari.
Swali jingine ni kwanini hawajamshusha huyo kijana?
Hiyo niyo miundo mbinu walotuwekea magamba yakuatarisha maisha yetu waTz