Mafunzo ya veta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafunzo ya veta

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mrdash1, Apr 25, 2012.

 1. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wana JF kama kuna member anajua wapi panatolewa mafunzo ya VETA ya Kilimo naomba anieleweshe tafadhali. Nahitaji kujua pia mafunzo yanachukua muda gani na gharama zake. Maeneo ninayoyataka ni kilimo (matunda na mboga mboga), Ng'ombe wa maziwa na nyama, Kuku wa mayai na nyama pamoja na ufugaji wa samaki.
   
Loading...