kuku87
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 1,220
- 296
Digital Opportunity Trust (DOT) shirika lisilo la kiserikali linaendesha mafunzo ya ujasiriamali na teknolojia yaitwayo ReachUp kwa muda wa mwezi mmoja na masaa mawili kwa siku yakiwa na lengo la kuwapa washiriki mbinu na uwezo utakaowawezesha kuwa na maendeleo endelevu na kuinua viwango vyao kiuchumi. Mafunzo yatatolewa maeneo tofauti ya jiji la dar es salaam hivyo washiriki watapangiwa vituo vilivyokuwa karibu na maeneo wanayoishi.
Wahusika ni makundi maalumu kama wanawake, vijana wasio na ajira, wajasiriamali wadogo-wadogo na wanafunzi/wahitimu wa vyuo vikuu na ufundi stadi. Washiriki watapatiwa vyeti baada ya kuhitimu mafunzo
Kujiandikisha na mafunzo tuma meseji lenye jina lako, eneo unalokaa, na namba yako ya simu kwenda namba 0768-020787, au barua pepe "amfuko@dotrust.org". Mafunzo yanatarajia kuanza wiki ijayo, ukipata tangazo hili mtaarifu na mwenzio