Mafunzo ya ujasiriamali na masoko

guru planet

Member
Mar 12, 2017
5
1
Karibu kwenye mafunzo ya ujasiriamali na masoko utafundishwa utengenezaji wa sabuni ya unga na sabuni ya maji, sabuni ya mche, kutengeneza mshumaa, kutengenenaza purfume, kutengeneza shampoo, jinsi ya kutengeneza vifungashio vyenye ubora, na bidhaa nyingine mbalimbali zinaendana na uhitaji wa soko la sasa la ndani na nje ya nchi semina hizi zitafanyika katika jengo la architecture lililopo mnazi mmoja kila siku kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa nne asubuhi hadi saba mchana na mchana kuanzia saa nane hadi kumi na moja jioni, kujisajili tuwasiliane kupitia namba hizi 0759 134242/0679243761, au fika ofisini GURU PLANET architecture building, Mnazi mmoja nyuma ya jengo jipya la ushirika ghorofa la tano.

KARIBUNI SANA
 
Back
Top Bottom