UTAFITI WA MADINI NA MAJI
Member
- Feb 14, 2015
- 46
- 38
Fursa toka PDPR ya mafunzo ya Ufugaji kuku, samaki, nyuki na kilimo cha Matikiti maji, nyanya, kabichi, pilipili hoho, matango, mapapai, embe, nanasi, nyanya chungu, karoti na usindikaji na usafirishaji njee ya nchi nafasi 85 nchi nzima,
washiriki watuziwa vifaranga, mizinga kwa punguzo watasaidiwa kuanzisha miradi yao na watapewa wataalamu wa kuwashauri na kufanya nao kazi.
Vigezo:
1) kuwa na nia ya kujikwamua kiuchumi,
2) ujue kusoma na kuandika kiswahili.
3) Kushiriki kambi ya siku tatu mkoani Njombe au Morogoro na gharama ya kambi ni TSH: 60,000/= kwa ajili ya mafunzo,chakula, vitabu na vitendea kazi.
mwisho wa kuchukua fomu ni tarehe 30 march, Mafunzo yatafanyika tarehe 3-5 April Njombe, waliopo mbali watosoma kwa masafa, Gharama ya fomu ni TSH: 5000/=
Bidhaa zako zitanunuliwa kwa bei nzuri zaidi ya soko la ndani.
kwa maelezo zaidi tembelea www.envaya.org/pdpr