Mafunzo ya udereva wa SGR unatolewa wapi?

Mafunzo ya udereva wa SGR unatolewa wapi?

Locomotive driver, Tazara chuo chao kipo Mpika Zambia, hawa TRC sijui kipo wapi.
 
Yaaan bongo pagumu SGR imeaza kaz na watu wapo kazin yaan had najiulizaga sisi tupo nje ya Tanzania au vp...!!
 
Back
Top Bottom