Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
Taarifa nyeti kutoka ndani ya chadema zinasema ahadi ya mafunzo imekwama kutokana na ugumu wa kisheria pamoja na uwezo wa kifedha unaoikabili chama kwa sasa. Je, wakati chadema kinatangaza kuanzisha mafunzo ndani ya wiki moja hakikujua ugumu wake? kilikurupuka?
Last edited by a moderator: