2017 No Name
Senior Member
- Jul 26, 2017
- 172
- 133
Salam!
Nimeanza kujifunza kutumia Microsoft Excel kupitia online courses, nia yangu ni kufikia expert level.
Changamoto niliyonayo ni kukosa kazi za kuapply vitu nnavyojifunza na kutambua changamoto zinazoendana na kufanya kazi kwenye program hii.
Kama una kazi inayotakiwa kufanywa kwenye Microsoft Excel ambayo inahitaji basic knowledge ya mathematics nipo hapa kukusaidia.
Ni Bure!!!
Sent using Jamii Forums mobile app