Mafunzo ya karate


This is the game...kama kijana atatakuwa kuwa na robust mind strength, he should take the lessons seriously. Ni mchezo pekee ambao niliufuatilia kwa moyo wangu wote nilipokuwa shuleni. Uzeeni nimeacha kitambi kinanitesa.
 

am contrary! am aint search kind of a person, Elimu yangu ni CV ya kutosha. martial art niliipenda tangu mdogo na kuweka nia nitakuja kucheza siku moja. kuna sehem moja hv nlicheza kidogo lkn kwa sbb y kubanwa na masomo nliishia njiani
 
Unashukuru kwa taarifa wewe ndio umeleta hii thread. Lugha yako inaonyesha kwamba nina multiple ID

sijui hata nikujibu nini! inawezekana una IQ kubwa lakini uwezo wa kichwa chako kuhimili IQ yko ni mdogo! mi siwez kushkuru mpka niwe nimeleta thread!? thnk about it
 
Kweli hata mimi nilikuwa nikiitaka hii kitu kama contach kuna mwenye nazo atuwekee plc
 
Tafuta movie ya no retreat no surrender uone dogo anavyofndshwa na bruce lee nawe ukiweza bruce atakuibukia kukufndhs!
 
Tafuta mahali kuna msikiti huwa wanatoa hiyo huduma

Kuna msikiti mmoja unaitwa TAQWA upo pale nyuma ya hospitali ya Mwananyamala wanafundisha. Nafikri hata Misikiti ya Mkwajuni na ule pale wa Manyanya watakuwa wanafundisha.Labda wawe wameacha ila enzi zile za Mkapa walikuwa wanafundisha. Huko siwezi enda mkuu
 
Mkuu wush, Taikwond n.k yanahitaji umri gani? Maana sasa kwa hali ilivyo inabidi tujifunze hayo madudu kwa ulinzi binafsi! Yaani mpaka Wabunge wanacharangwa kama nyama buchani? Hali siyo hali Kitaa!

magujuluu ndio mwisho wa kazi street
 
njoo tabata bima nitafute sempaye simba wa taranga mimi ni mtaalam wa shoto khan nia dani 12. bure

mkuu acha uongo una dan 12?? Acha kudanganya bwana dan hizo ni za shotokan shirikisho gani???
SKIF au??

Na umepatia wapi hizo dani?

Kweli hujui ukiongeacho dan 12 halafu unajiita sempay??
 
Wakuu nauliza mahali wanapofundisha karate. Kuna kijana wangu nataka nimpeleke akajifunze. Ningependa iwe maeneo ya Ubungo lakini hata sehemu nyingine sio mbaya

mkuu unataka karete ipi? Fafanua vizuri mkuu mim naweza kukuelekeza.

Kama unataka kujifunza shotokan karate SKF kwa hapa bongo kuna sensei Chikoko ndiyo mwasisi wa shotokan tanzania na anapatikana kawe ndipo dojo lake lilipo na 90% ya masempay wote wafundishao washotokan dar es salaam ni matunda yake mim nawafaham masempay zaidi ya 20 walio tapakaa kila kona hapa dar ambao wamefundishwa nae.

Siwezi weka contact za huyo sensei chikoko na hao masempay hapa kama upo serious ni PM ntakutumia mkuu.
 
oooooh sensei Simba.nakupata mkuu. Karibu Dojo la Urafiki tupige Wushu.

mbona hamuelewi nyinyi yeye anajinadi kuwa ni sempaye na wewe unakuja na kudai kuwa ni sensei?? Au hamjui nim maana ya sensei na sempaye??
Mwishon utajiita master sasa
 
magujuluu ndio mwisho wa kazi street

taikwond ndiyo imesimaa mkuu ni mwendo wa mateke tu kwa kwenda mbele
hainaga kulemba sana wala kushikana wala kusogeleana mtu akikuletea shobo tu 2 second upo kichwani kwake au ushamvunja??

Haya makitu yana raha yake na yakikukorea ndiyo kabisaaa
 
taikwond ndiyo imesimaa mkuu ni mwendo wa mateke tu kwa kwenda mbele
hainaga kulemba sana wala kushikana wala kusogeleana mtu akikuletea shobo tu 2 second upo kichwani kwake au ushamvunja??

Haya makitu yana raha yake na yakikukorea ndiyo kabisaaa


Mkuu asante kwa ushirikiano wako. Mimi sio mtaalam sana. Ukiniambia nitaje aina ya karate ninayotaka nitakudanganya. Ila kwa kuwa umesema kwamba hapo penye red ndio kiboko basi naomba contact za huyo mtu.Nitaku pm Mkuu
 

Mkuu sijui aina za karate. Napenda iwe the best of all. Nina nia ya kujifunza sana karate ila sipendi nikurupuke kuanza kujifunza kumbe anayenifundisha sio mtaalam.Ndio maana nimekuja hapa kwanza kuomba msaada wene,najua hapa wanapatikana watu wenye sifa za aina mbalimbali. Nitaku pm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…