Mafunzo ya karate kwa watoto

Salamu kwa wote- kwa yeyote anaefahamu sehemu wanayofundisha mafunzo ya karate kwa watoto anijuze tafadhari- itapendeza zaidi sehemu hiyo ikiwa - Upanga- kisutu- au Ilala.
Nenda Ilala boma pale ulizia, yupo sensei Mgeni
 
ukiwa unafundishwa karate unafundishwa na adabu zake sio kuchokozwa kidogo tuu unaanza kuwatandika wenzako
kuna shule wanafundisha vizuri tuu ila nchi yetu hii mara utaambiwa ni g...i.
Bora niishie hapo
 
Back
Top Bottom